Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
MUHIMU: Mtuhumiwa hana hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty

Your browser is not able to display this video.


Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache iliyopita kulikuwa na tukio la mwanamke kukodi majambazi yamuue mme wake huko Arumeru.

hivi tena kuna kijana Henry Tumaini Lekule (34) kauliwa huko maeneo ya Njiro kikatili sana kwa katobolewa macho, kupigwa mapanga ya kichwani na inaelezwa alilawitiwa kabla ya kuuliwa, mwili wakautupa kwenye kichaka karibu na kwake.

Hadi sasa kumekuwa na asilimia zaidi ya 90 ya watu wengi mitandoni wakitoa maoni ya kuhisi mke ndie mtuhumiwa wa kwanza kwa kudai mwanamke huyo anachanganya changanya maelezo.






















 
Mama kajikamatidha.

Anatetemeka pale mwishoni
 
Duh..
Ila Arusha ni kama Afghanistan ya Tanzania
 
Kawaida ya dunia huwa haiachi kukuumiza hadi uelewe funzo linayokupa, ukiwa mgumu kuelewa dunia itaendelea kukuumiza na mwisho kupoteza maisha.

Dunia ikiamua kukuonyesha marafiki ulionao ni wezi/majambazi na ikakuonyesha wezi wanauwawa hilo ni funzo inatakiwa uachane nao
Ikikuonyesha mchumba/mke ulienae ni malaya hilo ni funzo na inatakiwa uelewe na ufanye maamuzi ya kuachana nae.
Vinginevyo ukiwa mwanafunzi mgumu kuelewa dunia itakuadhibu kifo cha maumivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…