Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

Kabla hujalaumu jiulize alimfanya nini mwanamke huyu??

(Ona watakavyokuja na kupanick wakati ndio reaction hizi hizi niliziona kwenye uzi wa aliyemchoma mkewe kwa gunia 2 za mkaa)
Angekuwa ni mke ndo kauliwa ungeona comments zao hawa watu.
 
Kabla hujalaumu jiulize alimfanya nini mwanamke huyu??

(Ona watakavyokuja na kupanick wakati ndio reaction hizi hizi niliziona kwenye uzi wa aliyemchoma mkewe kwa gunia 2 za mkaa)
JF legend!

Mambo☺️
 
Dunia ya sasa ndoa siyo taasisi salama tena ya watu kuishi pamoja.
Visa vya mauaji kisa mapenzi ni vingi sana,wahanga wakiwa wanaume.
Haiwezekani Mwanamke afiwe na mume wake wa ndoa akawa mkavu hivyo hana hisia zozote za uchungu kwa hicho kifo.
Haki ifanyike na wahusika wakamatwe
 
Back
Top Bottom