Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

MUHIMU: Mtuhumiwa hana hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty

View attachment 2904415

Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache iliyopita kulikuwa na tukio la mwanamke kukodi majambazi yamuue mme wake huko Arumeru.

hivi tena kuna kijana Henry Tumaini Lekule (34) kauliwa huko maeneo ya Njiro kikatili sana kwa katobolewa macho, kupigwa mapanga ya kichwani na inaelezwa alilawitiwa kabla ya kuuliwa, mwili wakautupa kwenye kichaka karibu na kwake.

Hadi sasa kumekuwa na asilimia zaidi ya 90 ya watu wengi mitandoni wakitoa maoni ya kuhisi mke ndie mtuhumiwa wa kwanza kwa kudai mwanamke huyo anachanganya changanya maelezo.

View attachment 2904421

View attachment 2904422

View attachment 2904423

View attachment 2904424

View attachment 2904425

View attachment 2904426

View attachment 2904427
Arusha inatisha
 
Hicho kifo ni cha kulipiza kisasi tu
Inaoneonekana
Mtu mumkate mapanga,mumlawiti na mumuuwee ehh
Kila siku nasema hakuna watu wenye roho mbaya kama watz

Ova
Tanzania kama ilivyo kwa wafrika wengine ni watu wa roho mbaya, chuki na ukatiri.

Tazama nchi inapata rais mkatili wao wanafurahia eti ndio rais bora.
Mioyo yao imejaa visirani visasi badala ya Upendo
 
Tanzania kama ilivyo kwa wafrika wengine ni watu wa roho mbaya, chuki na ukatiri.

Tazama nchi inapata rais mkatili wao wanafurahia eti ndio rais bora.
Mioyo yao imejaa visirani visasi badala ya Upendo
Kweli kabisa nchi hii ina watu wana roho mbayaa shetani anasubiri

Ova
 
Back
Top Bottom