Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

Wanaume kama ndoa hatuziwezi tuziache tu zinatumaliza
 
Play video
 
Sio laana bwana.....wewe kwaninu ulishe anayetaka kukua? Shida ni wewe mlishaji.
wanabadilikaga hao kwa tamaa za mali
wala hudhanii
na hana hasara kukuua maana siyo ndugu yake wewe

Rejea mke wa Msuya, mke kaua mme arithi mali, akaua dada wa mme tena apoteze loose ends
 
Play video
 
Kwa tabia hii ya kukimbilia kusema wauaji ni wake mtakua mnasaidia wauwaji wa kweli kutopatikana kirahisi.
Tuache kukariri,inawezekana marehemu katembea na mke wa mtu au kadhulumu au ni upinde kakutana na anti upinde wakaamua afe kifo cha aibu.

Hivi mnajua saikilojia ya wauaji? Huyo mama angekua anahusika angekua anajifanya kulia sana hata kusimama angejifanya hawezi.
 
Umewaza mbali sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…