Arusha: Mwanaume auawa kikatili na kulawitiwa, mke atuhumiwa

Kama unavyokuwa makini na watu pia uwe makini sana na watu wakaribu yako hasa mkeo,mimi nimemseti mke wangu hawezi kuniua wala kunifanyia ishu yoyote mbaya
 
Can't play video
 
Hili tukio mbona limepita muda! Au jingine tena!


Nasubiri njombe au iringa wajibu mapigo ya kaskazini, Mungu awaepushie mbali

Kaskazini sio mahala pakuishi
Njombe na iringa sio pahala pakuishi
 
Kabla hujalaumu jiulize alimfanya nini mwanamke huyu??

(Ona watakavyokuja na kupanick wakati ndio reaction hizi hizi niliziona kwenye uzi wa aliyemchoma mkewe kwa gunia 2 za mkaa)
By any means you have no right to kill[emoji120]
 
Hicho kifo ni cha kulipiza kisasi tu
Inaoneonekana
Mtu mumkate mapanga,mumlawiti na mumuuwee ehh
Kila siku nasema hakuna watu wenye roho mbaya kama watz

Ova
nashangaa roho mbaya hiyo hatuthubutu kuielekeza kwa kubwa la maadui wenyewe the ccm
 
Hili tukio mbona limepita muda! Au jingine tena!


Nasubiri njombe au iringa wajibu mapigo ya kaskazini, Mungu awaepushie mbali

Kaskazini sio mahala pakuishi
Njombe na iringa sio pahala pakuishi
toa iringa weka geita wewe.
siku hz mara wao wameokoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…