MUHIMU: Mtuhumiwa hana
hatia mpaka itakapodhibitika ana hatia, the accused is considered innocent until proven guilty
View attachment 2904415
Mtindo huu wa mauaji umeanza kushika kasi Arusha, ni miezi michache iliyopita kulikuwa na tukio la mwanamke kukodi majambazi yamuue mme wake huko Arumeru.
hivi tena kuna kijana Henry Tumaini Lekule (34) kauliwa huko maeneo ya Njiro kikatili sana kwa katobolewa macho, kupigwa mapanga ya kichwani na inaelezwa alilawitiwa kabla ya kuuliwa, mwili wakautupa kwenye kichaka karibu na kwake.
Hadi sasa kumekuwa na asilimia zaidi ya 90 ya watu wengi mitandoni wakitoa maoni ya kuhisi mke ndie mtuhumiwa wa kwanza kwa kudai mwanamke huyo anachanganya changanya maelezo.
View attachment 2904421
View attachment 2904422
View attachment 2904423
View attachment 2904424
View attachment 2904425
View attachment 2904426
View attachment 2904427