CCM wanapata wapi pesa??Jambo usilo lijua , kama wanamwaga pesa kilimanjaro hatunaga tabia ya kuacha pesa , mimi simshauri mtu yoyote wa kilimanjaro kama atapata fursa ya kukwapua pesa kutoka ccm aziache .
NakaziaJambo usilo lijua , kama wanamwaga pesa kilimanjaro hatunaga tabia ya kuacha pesa , mimi simshauri mtu yoyote wa kilimanjaro kama atapata fursa ya kukwapua pesa kutoka ccm aziache .
Arusha na Kilimanjaro wanashawishika kirahisi sana na pesa.Jambo usilo lijua , kama wanamwaga pesa kilimanjaro hatunaga tabia ya kuacha pesa , mimi simshauri mtu yoyote wa kilimanjaro kama atapata fursa ya kukwapua pesa kutoka ccm aziache .
Ni kweli ila acha kwanza watu wapate pesaArusha na Kilimanjaro wanashawishika kirahisi sana na pesa.
Jambo la muhimu ni kwamba siasa zinapifika hatua za watu kushawishiwa kwa fedha maana yake Chama cha siasa kinachotumia fedha kinakuwa na muda mdogo sana wa kuishi
kwa hiyo wakazi wote wa kilimanjaro ni wafanyabiashara?Refa awe fair...
Kisha hata kesho weka kati game...
Nakuhakikishia hata Jimbo la Ngorongoro linaenda upinzani kwa Fujo wanazoletewa wamasai kule
Labda Longido hivi , na Mondulu ndio wanaweza kupata kura chama tawala
Kilimanjaro majimbo mengi upinzani upo...lakini huwezi kuona kwa macho kwakuwa watu wanalinda biashara zao zisiharibike
Serikalini. Na ile harambee umesahau?CCM wanapata wapi pesa??
Sijui bwashee, binafsi nawaunga mkono wanaopata fusra za kuzila hizo pesaCCM wanapata wapi pesa??
Kilimanjaro mahitaji yetu tunayashughulikia wenyewe , hizo ni mbwembwe za kutafuna pesa ya ccm tuhuenda mahitaji yao yameshughulikiwa.
Punguza pombe kaka...Kilimanjaro mahitaji yetu tunayashughulikia wenyewe , hizo ni mbwembwe za kutafuna pesa ya ccm tu