Arusha na Kilimanjaro zimepatwa na nini kwenye siasa?

Arusha na Kilimanjaro zimepatwa na nini kwenye siasa?

Hizi zilikua ndio ngome za upinzani na harakati ila sasa naona kama CCM wanaogelea tu na wanapata support ya vijana tofauti na nilivyofikiria. Nini kimewapa?
Chadema kilipoteza muelekeo baada ya kupata fedha na nguvu kikawageuka wananchi na kudharau maoni yao hadi kufikia kuwakumbatia kikwete na Rostam azizi....hata kifo cha jpm kilipo tokea walipigiana simu chadema na ccm ya kikwete ...viongozi wa chadema walimpigia simu kikwete wakipongezana kuwa sasa mambo safi ....Leo hii chadema kinalipia hasara kwa uchungu ...hata hapa JF walitubeza sana tulipo waonya ...huku wakimsifu mbowe na lissu
 
Vijana wa siku hizi hawataki ujinga na kupigwa virungu halafu unaenda kuugulia peke yako nyumbani
Kama yule aliepigwa na polisi mahakamani, sijui hali yake ikoje masikini....
 
Hapo umeniweza ,nawasha chuma yangu , anarudi nayo beki tatu , nikisema hivi kuna nyumbu nyongo inataka kupasuka🤣
Dah beki tatu hwahwahwaa

hiyo ndo hoja yangu bwashee...

kwa umuhimu wa barabara ya moshi-arusha, wananchi wana haki ya kumuunga mkono anayeifanyia marekebisho...

so huenda hiyo ikawa ni moja ya sababu ccm kurudi kwa kasi mikoa hii.
 
Dah beki tatu hwahwahwaa

hiyo ndo hoja yangu bwashee...

kwa umuhimu wa barabara ya moshi-arusha, wananchi wana haki ya kumuunga mkono anayeifanyia marekebisho...

so huenda hiyo ikawa ni moja ya sababu ccm kurudi kwa kasi mikoa hii.
Wamuunge tu ila kwangu mimi siwezi kufanya hivyo wala siwezi kupinga, kwa sababu hamna effect yoyote kwenye maisha yangu
 
Sio wote ni wafanyabiashara....
Lakini Maisha haya ya kibongo... Bora ujifanye mjinga upone...

Lakini hali hii huko mbele Kuna watu watakuja kutapika wasiamini kama ni Bongo hii tunayoijua
We ni genius 👋👋👋
 
Wamuunge tu ila kwangu mimi siwezi kufanya hivyo wala siwezi kupinga, kwa sababu hama effect yoyote kwenye maisha yangu
tufanye umeshinda...

kwa maelezo niliyokupa hapo juu, nafaa kuwa chawa wa mama?

nifanyie assesment..

jana nilikua Mpanda nimekutana na vijana wamevaa tshirt zimeandikwa WATETEZI WA MAMA KATAVI...

na mimi nakitaka hicho cheo.
 
Back
Top Bottom