Nipunguze pombe kwa sababu gani ? Hiyo mnajenga kwa sababu zenu ila za kuingia majumabani mwetu huko uchagani tunaweka lami bwasheePunguza pombe kaka...
Barabara ya moshi -arusha inafanyiwa marekebisho makubwa!
Wananchi mmechangia nini?
hizo za kuingia kwenu hazina shida...Nipunguze pombe kwa sababu gani ? Hiyo mnajenga kwa sababu zenu ila za kuingia majumabani mwetu huko uchagani tunaweka lami bwashee
Hzo wajenge kila mtu bwasheehizo za kuingia kwenu hazina shida...
nazungumzia hizi anapita kila mtu mkuu...
kwamba hazina umuhimu wowote sio mkuu?Hzo wajenge kila mtu bwashee
Sio wote ni wafanyabiashara....kwa hiyo wakazi wote wa kilimanjaro ni wafanyabiashara?
Chadema kilipoteza muelekeo baada ya kupata fedha na nguvu kikawageuka wananchi na kudharau maoni yao hadi kufikia kuwakumbatia kikwete na Rostam azizi....hata kifo cha jpm kilipo tokea walipigiana simu chadema na ccm ya kikwete ...viongozi wa chadema walimpigia simu kikwete wakipongezana kuwa sasa mambo safi ....Leo hii chadema kinalipia hasara kwa uchungu ...hata hapa JF walitubeza sana tulipo waonya ...huku wakimsifu mbowe na lissuHizi zilikua ndio ngome za upinzani na harakati ila sasa naona kama CCM wanaogelea tu na wanapata support ya vijana tofauti na nilivyofikiria. Nini kimewapa?
Zina umuhimu kwa nyie mnaotumia usafiri wa barabarakwamba hazina umuhimu wowote sio mkuu?
na assume unatumia usafiri wa anga...Zina umuhimu kwa nyie mnaotumia usafiri wa barabara
Hapo umeniweza ,nawasha chuma yangu , anarudi nayo beki tatu , nikisema hivi kuna nyumbu nyongo inataka kupasuka🤣na assume unatumia usafiri wa anga...
toka hapo kwako kibosho hadi KIA unatumia usafiri gani kaka?
Dah beki tatu hwahwahwaaHapo umeniweza ,nawasha chuma yangu , anarudi nayo beki tatu , nikisema hivi kuna nyumbu nyongo inataka kupasuka🤣
Wamuunge tu ila kwangu mimi siwezi kufanya hivyo wala siwezi kupinga, kwa sababu hamna effect yoyote kwenye maisha yanguDah beki tatu hwahwahwaa
hiyo ndo hoja yangu bwashee...
kwa umuhimu wa barabara ya moshi-arusha, wananchi wana haki ya kumuunga mkono anayeifanyia marekebisho...
so huenda hiyo ikawa ni moja ya sababu ccm kurudi kwa kasi mikoa hii.
Acha ujinga wewe,hujui walichochangia wananchi??Kodi zetu zinaenda wapi.MatakoyakoPunguza pombe kaka...
Barabara ya moshi -arusha inafanyiwa marekebisho makubwa!
Wananchi mmechangia nini?
We ni genius 👋👋👋Sio wote ni wafanyabiashara....
Lakini Maisha haya ya kibongo... Bora ujifanye mjinga upone...
Lakini hali hii huko mbele Kuna watu watakuja kutapika wasiamini kama ni Bongo hii tunayoijua
tufanye umeshinda...Wamuunge tu ila kwangu mimi siwezi kufanya hivyo wala siwezi kupinga, kwa sababu hama effect yoyote kwenye maisha yangu
unaelewa unachojibu dada fijo?Acha ujinga wewe,hujui walichochangia wananchi??Kodi zetu zinaenda wapi.Matakoyako
Punguza kula makapi ya bnge na mkokaa chali kwani izo pesa za barabara ni za nani kama sio kodi za wananchiPunguza pombe kaka...
Barabara ya moshi -arusha inafanyiwa marekebisho makubwa!
Wananchi mmechangia nini?