Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Maybe wewe unajua lugha,sidhani unaijua lugha kama mimi navyojua,nachoona hapa anataka kujifanya tu
Kawaida ya watoto wa darUkikosea kubali kukosolewa, ili usiendelee na kuchekwa juu.
Ushauri wangu, humu tuliomo asilimia kubwa ni waswahili, sasa hicho kiingereza chako unamlingishia nani!!! Kwahiyo hata ulaya kwenye majukwaa yao/social media huwa wanajadiliana kwa lugha ya kiswahili?
Nyie vijana kutoka mwanzA tunawakubali sanaila vijana wa dar wanajilegeza sana,au joto linawafanya wawe mlenda,asilimia kubwa mabwabwaNaishi Mwanza mjini na ninafanya kazi hapa Arusha mjini mwaka wa 11 sasa.
Hawataki kuelewa,kilichobaki wanakosoa mavazi,hatufagilii machalii mlenda mlenda wanatakiwa wakazeNi kweli. Arusha ni kuzuri haswaa hujadanganya
Mimi siwezi kuishi Arusha bora nikaishi Mwanza kwanza vijana wa Arusha washamba wamezoea kuishi kibinafsi hawajazoe kuishi na Jamii tofauti na jamii yao, halafu hawajui kuvaa.Watu wanaoiponda Chuga hawajakaa. Wamepita tu njia!
Point ya msingi ni kua "best cook" lugha imepanda ndege na kimsingi hauna unachokijua umebakisha ubishi...hakuna neno kama "best cooker"...🤣🤣🤣Maybe wewe unajua lugha,sidhani unaijua lugha kama mimi navyojua,nachoona hapa anataka kujifanya tu
My mother is best cooker
Hujalazimishwa,alafu chugah hatutaki wapaka poda,na rangi kuchsMimi siwezi kuishi Arusha bora nikaishi Mwanza kwanza vijana wa Arusha washamba wamezoea kuishi kibinafsi hawajazoe kuishi na Jamii tofauti na jamii yao, halafu hawajui kuvaa.
SoooMy nother is the best cook
Cooker ni jiko boss
SIRI UMEIJUA KWAKUWA NAWE UNAGAWA NYUMASIRI Vijana wengi wenye rasta toka Arusha hapa Unguja wanagawa kwa wazungu mpaka aibu
Kaandamane basiPoint ya msingi ni kua "best cook" lugha imepanda ndege na kimsingi hauna unachokijua umebakisha ubishi...hakuna neno kama "best cooker"...🤣🤣🤣
Point imeshaingia..hioKaandamane basi
Punguza shoboPoint imeshaingia..hio
Unawajua Wahaya vizuri Mkuu?Hivi mkuu lumumba, kaskazini ndio nature yao kujisifu hata kama sifa hiyo haikidhi!! Japo sio wote wanaojisifu.
Ni kweli wewe hujafundwa jandoni?Kwahiyo wewe umetahiriwa porini?