ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

Daah, vijana wa Arusha na ile mishati yenu mikubwa kama parashuti na miviatu mikubwa kama meli.....
Aiseee, sijui huwa mnawazaga nini vichwani mwenu.......
Sema nachowakubali wengi ni watu wa amani sana.......
 
Sema dingii unakosea hivi kwa watu wajanja unaweza kuwafananisha na arusha,kwanza labda nikuuleze arusha vijana wa kule wajanja sana ,wanajitambua sana kule hukuti kijana mwenye umri wa miaka 18 anakaa na wazazi wake rudi sasa huku dar unapopaona mjini unakuta mzee jitu zima lipo kwao,ukiachana na hivyo rudi kwenye kusaka maisha vijana wadogo tu arusha wanamaendeleo yao,arusha wanajitambua sana
 
Overrated
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…