Arusha; Ngarenaro;Dogo janja atoa ahadi ya kutokomeza Vibanda vya pombe haramu,mirungi pamoja na Bangi katika kata yake.

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
11,208
Reaction score
20,517
Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa .

Dogo janja amesema hayo baada ya kujibu swali aliloulizwa na msikilizaji ambae ni mkazi wa kata ya ngarenaro Kuwa endapo atachaguliwa Kuwa Diwani wa ngarenaro atachukua hatua Gani kwenye Vibanda vya pombe haramu na madawa ya kulevya vilivyoota kama uyoga katika kata hiyo ambapo Hadi wanafunzi ni wateja wakubwa wa Bangi na gongo katika Vibanda hivyo.

Dogo janja ameeleza Kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani basi habari ya kusafiri safiri kwenda Dar hatokuwa nayo tena.
Screenshot 2025-07-01 211050.png
 
Kamanda wa polisi na vijana wake kazi yao kupambana na wachokonozi tu?

Ofisi ya dso na vijana wake wanafanya Nini?

Mkuu wa wilaya na kamati zake wapio kwa ajili ya Nini?
 
Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa .

Dogo janja amesema hayo baada ya kujibu swali aliloulizwa na msikilizaji ambae ni mkazi wa kata ya ngarenaro Kuwa endapo atachaguliwa Kuwa Diwani wa ngarenaro atachukua hatua Gani kwenye Vibanda vya pombe haramu na madawa ya kulevya vilivyoota kama uyoga katika kata hiyo ambapo Hadi wanafunzi ni wateja wakubwa wa Bangi na gongo katika Vibanda hivyo.

Dogo janja ameeleza Kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani basi habari ya kusafiri safiri kwenda Dar hatokuwa nayo tena.
Sijui kama atatoboa maana ngarna nzima wala mirungi yaani .
Yey mwenyewe anakula mirungi kama mbuzi 🤣🤣🤣
 
Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa .

Dogo janja amesema hayo baada ya kujibu swali aliloulizwa na msikilizaji ambae ni mkazi wa kata ya ngarenaro Kuwa endapo atachaguliwa Kuwa Diwani wa ngarenaro atachukua hatua Gani kwenye Vibanda vya pombe haramu na madawa ya kulevya vilivyoota kama uyoga katika kata hiyo ambapo Hadi wanafunzi ni wateja wakubwa wa Bangi na gongo katika Vibanda hivyo.

Dogo janja ameeleza Kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani basi habari ya kusafiri safiri kwenda Dar hatokuwa nayo tena.
Mpaka hapo Dogo janja ameshafeli, watu wa Arusha unawanyima vipi pombe, bangi, ugoro na mirungi?
 
Umaziliwa kwenye hiyo jamaa mungu kakuona ukatoboa alafu unataka kuiona hiyo jamii ni tofauti.Huyu ajui kutumia fomura za pabro muuza madawa.Watakuchukia dogo
 
Ina maana atajitokomeza kwanza yeye mwenyewe? Naye ni mtumiaji mzuri sana wa bangi. Pia kwa kata yake wapiga kura karibu wote wanajihusisha na hivyo vitu. KAJIHARIBIA. Angejibu kisiasa kwamba atatoa elimu kuhusu ubaya wa hivyo vitu.
 
Makonda atamsaidia ashinde huyo dogo vinginevyo kura za wavuta bangi, wala mirungi na wanywa gongo atazikosa, vita kama hii huwa haitangazwi hadharani angesubiri ashinde ndio awashukie walevi hao
Hakuna ufalme unaopingana ukasimama. Yaani mlevi afukuze walevi wenzake?
 
Vijana wameshaona siasa ndio sehem ya kutoboa maisha wapo tayari kuacha mziki, biashara na shughuli nyingine.

Siasa nchi hii imekuwa rahis mno kiasi kwamba hata vilanza wanaona ndio sehem ya malisho Kwasababu hoja kuu ukiwa huko ni kusifu na kupongeza Hamna Ile mikiki mikiki kama ya zaman kutatua changamoto za watu.
 
Bila shaka muda huu Wadudu wanamsubiri kwenye sanduku la kura kwa hamu sana.
 
Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa .

Dogo janja amesema hayo baada ya kujibu swali aliloulizwa na msikilizaji ambae ni mkazi wa kata ya ngarenaro Kuwa endapo atachaguliwa Kuwa Diwani wa ngarenaro atachukua hatua Gani kwenye Vibanda vya pombe haramu na madawa ya kulevya vilivyoota kama uyoga katika kata hiyo ambapo Hadi wanafunzi ni wateja wakubwa wa Bangi na gongo katika Vibanda hivyo.

Dogo janja ameeleza Kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani basi habari ya kusafiri safiri kwenda Dar hatokuwa nayo tena.
Uyo anapita bila kupingwa na anayemshawishi kuingia uko ni rafiki yake KENANI KIHONGOSI ,
 
Back
Top Bottom