Sijui kama atatoboa maana ngarna nzima wala mirungi yaani .Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa .
Dogo janja amesema hayo baada ya kujibu swali aliloulizwa na msikilizaji ambae ni mkazi wa kata ya ngarenaro Kuwa endapo atachaguliwa Kuwa Diwani wa ngarenaro atachukua hatua Gani kwenye Vibanda vya pombe haramu na madawa ya kulevya vilivyoota kama uyoga katika kata hiyo ambapo Hadi wanafunzi ni wateja wakubwa wa Bangi na gongo katika Vibanda hivyo.
Dogo janja ameeleza Kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani basi habari ya kusafiri safiri kwenda Dar hatokuwa nayo tena.
🤣🤣🤣yaani kawapa mada wala gomba na wale kukesha kulinda kura wanaeza ,Kashapoteza 90% ya wapiga kura
Ndio maana nkasema kuitekeleza hii ni ngumu hasa kama ukijua story yake na kuona maisha yake ya awaliMama yake amemlea Kwa kuuza Gongo, eti leo atokomeze uuzaji wa Gongo! Hajui Kuna watu wanalelewa Kwa biashara hiyo kama ilivyomlea yeye?
Mpaka hapo Dogo janja ameshafeli, watu wa Arusha unawanyima vipi pombe, bangi, ugoro na mirungi?Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa .
Dogo janja amesema hayo baada ya kujibu swali aliloulizwa na msikilizaji ambae ni mkazi wa kata ya ngarenaro Kuwa endapo atachaguliwa Kuwa Diwani wa ngarenaro atachukua hatua Gani kwenye Vibanda vya pombe haramu na madawa ya kulevya vilivyoota kama uyoga katika kata hiyo ambapo Hadi wanafunzi ni wateja wakubwa wa Bangi na gongo katika Vibanda hivyo.
Dogo janja ameeleza Kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani basi habari ya kusafiri safiri kwenda Dar hatokuwa nayo tena.
Hakuna ufalme unaopingana ukasimama. Yaani mlevi afukuze walevi wenzake?Makonda atamsaidia ashinde huyo dogo vinginevyo kura za wavuta bangi, wala mirungi na wanywa gongo atazikosa, vita kama hii huwa haitangazwi hadharani angesubiri ashinde ndio awashukie walevi hao
Uyo anapita bila kupingwa na anayemshawishi kuingia uko ni rafiki yake KENANI KIHONGOSI ,Akihojiwa Asubuhi ya Leo katika Moja ya Radio jijini Arusha mtia Nia ya udiwani wa kata ya ngarenaro almaarufu dogo janja ambae pia ni mwanamuziki amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Diwani wa kata ya ngarenaro Basi atahakikisha Vibanda vyote vya pombe haramu, Bangi na mirungi vitaondolewa .