Arusha: Pale kwa Mromboo nimelishwa nyama ya nguruwe

Acha kuandika maujinga.Sasa hapo ni wapi wamekulisha nguruwe?Au unataka kuharibu biashara za watu?Kenge weye!
 
Kuwe na utaratibu moderators wakithibitisha uzi ni feki, una nia ovu waufute!!!

Watu wanapoteza muda kusoma na kukanusha!!!

Active
 
I see,wewe jamaa ni mzandiki na mfitini mkubwa,kwa taarifa yako moja ya eneo ambalo Halmashauri ya Jiji la Arusha kupitia Idara ya Afya na Mifugo ,wapo makini napo ni hapo kwa Moromboo,wapo Maafisa Mifugo,Maafisa Afya lakini pia wafanyabiashara wenyewe wanasimamiana,huwezi fanya huo uhuni uliosema

Changamoto iliyopo kwa sasa sasa ni MOSHI na KELELE toka kwa wahubiri uchwara wa dini ya kikristo ambao mwisho wa siku hulazimisha SADAKA kwa wateja.

Niwaombe Jiji hasa kitengo cha Mazingira kuzifanyia kazi changamoto hizi [Moshi na Kelele] haraka
 
Unaharibu biashara za watu kwa kuandika uwongo ili iweje mbuzi wamejaa hata hawajui wawaweke wapi pale hizi mambo mnafaidika nini kuharibu kazi za watu...
 

Kwa mrombo nyama inayochomwa pale 90% ni Mbuzi, 4% ni Ngombe, 4% ni Kondoo, 1.5% ni Kuku na kama 0.5% Nguruwe. Sasa sijui ulitoka wapi hata kukutana na Kiti moto?
Nilifikiri mtu mgeni ataishia katikati ya Mbuzi, sasa wewe hata sijui ulichomea upande gani?
 
Mkuu hofu ya mungu yupi????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…