ARUSHA: Polisi hawara aua mume wa ndoa kwa risasi

Si mlishaambiwa MSIOE..

Kwanini hamsikii lakini?

#YNWA
 
Ndugu na majirani wanasemaje?
Marehemu alikuwa ana kichaa cha mapenzi.Mtu ambaye hukumtoa bikra,ulimkuta akiwa na meno 32 yameshaota,huna undugu naye hata kidogo;Akiamua kuchukua 50 zake kwanini usiachane naye?Wanawake mbona wako wengi na kila siku wazuri wanaendelea kuzaliwa?Angeachana naye kiroho safi,sasa hivi angekuwa bado yuko hai,sanasana maumivu ya moyo angeyapata siku za mwanzo mwanzo,baadae maisha yangiendelea.Ona sasa uhai wake umepotea na mwanamke amemuacha anaendelea kuvinjari na madume mengine!
 
Mhh hatari sana kwa kweli maisha haya yaani watoto wanasikia au kuona baba yao akipigwa risasi na kufa aisee dunia ishaharibika utadhani kwa wazulu kumbe Arusha...huyo polisi kazi anayo kesi hana ila Dunia itamhukumu...
 
Huyo marehemu alijua ni mapolisi na wana silaha yet, akanuia kumpiga panga??
Sasa kawaachia gepu full kujivinjari.
Apumzike alikojiandalia
Wanawake ni wengi duniani unaweza kuwapata hata kwa mafungu ukitaka.

Everyday is Saturday................................😎
 
Lipi ni lipi? Tuamini majirani au kamanda wa mkoa?
Kama shida ni wivu kama walivyosema majirani, mke tayari amekosa mme, amebaki mjane, na huyo askari hatomuoa. Yani amekosa bara na Pwani na hii dhambi itamtafuna maisha yake yote.
Sure atavuna alichopanda kwa kipindi alichobaki nacho duniani, karma inamhusu sana neno furaha kwenye mahusiano litakuwa kitendawili.
 
Dah, huyo Askari lazima alogwe na ndugu wa mwanamume.

Kama sio kufa kwa kulogwa basi dhambi itamtafuna aone bora kufa.

Ningekuwa mimi ndo huyo mwanamume, ningemuacha kiroho safi, ningetafuta kabinti kabichi kabisa naoa ndan ya siku tatu.!
 
Habari imeanza kwa kumtuhumu askari... Mwishoni mwa habari... Mtuhumiwa anatetewa na kupewa kesi Marehemu
 
Jamani mbona mi nimeachwa na kale kamchepuko kangu nimetulia nashangaa juzi natumiwa sms mambo kucheki namba yake nikamjibu mambolo,

Cha ajabu shapata mchepuko mwingine mkali zaidi yake ila vitoto vya chuo ni kucheza navyo kulingana na mdundo
 
Polisi wanateteana sana, unaona huyu kamanda wa Mkoa wa Arusha majibu yake, anatetea mauaji kabisa aisee, Serikali lazima hapa iingilie kati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…