Pre GE2025 ARUSHA: Rais Samia alirudishia Kanisa Katoliki eneo lao pamoja na Tsh milioni 500 zilizochukuliwa na Halmashauri ya Jiji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

..vipi kuhusu uanachama wetu OIC?

..tunachelewa kupata misaada, na mikopo isiyo na riba.
 
Mwendo wa kukemea maovu bado utaendelea. Hawa jamaa hawana uchawa kama uvccm
 
Nshomile rubish! Utakuwa wa mipakani, maana.......
 
Bado kuna usakaji kura kwa njia za hadaa hivi?!
 
Sasa mmeenda kwenye kisababishi kilichofikisha hapo? Maana naona imeamuliwa kirahisi sana kama vile halikuwa tatizo,ilikuwaje mpaka kanisa wakalipia kiwanja chao? Ni wangapi watakutana na hiyo bahati ya mtende ya kurudishiwa mali waliyoporwa?hakuna wengine wenye changamoto kama hizo?rip Babu Rama.
 
Inamaana hili halikufika kwa Jerry Silaa mezani kwake kipindi kile akiwa Aridhi!!???
 
Kwani utaratibu na Sheria vinasemaje?
Mahakamani baadhi ya waamuzi wanachelewesha haki kwa maslahi yao binafsi, achaa Amiri Jeshi Mkuu aingilie kati,na katiba yetu inamruhusu kufanya hivyo kulinda watu wake na Tanzania kwa ujumla! Na ndiyo maana Katiba imempa Presidential power!! Mama Samia mitano tena!!
 
..vipi kuhusu uanachama wetu OIC?

..tunachelewa kupata misaada, na mikopo isiyo na riba.
Hiyo mikopo unataka ufanyie nini??

Au furaha yako ni kwa vile haina riba ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Hiyo mikopo unataka ufanyie nini??

Au furaha yako ni kwa vile haina riba ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿ—‘๏ธ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ

..mikopo zitapunguza utegemezi wa Zanzibar kwa Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ