Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya Sokone One kukutwa ameuawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.
Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba
katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.
katika risiti hizo P.O.box inasoma U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA
Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
Your browser is not able to display this video.
UPDATE:
Nyumba ya bwana Ramji imevunjwa na wananchi na baada ya kuvunjwa walichimbua ardhini na kukuta baadhi ya vitu vilivyofungwa mithili ya vifurushi vidogo vya nguo.
Tukio lilianzia baada ya:
Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya sokone one kukutwa ameuwawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.
Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba na kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba
katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.
katika risiti hizo P.O.box inasoma U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA
Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.
Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa baada ya kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
Taarifa zaidi unaweza zipata kwa
KusagaTv
GlobalTV