Chujio
JF-Expert Member
- Jun 17, 2013
- 1,368
- 2,108
Inaonekana ni syndicate kabisa ya kafara ya muda mrefuSoma baadhi ya risiti , tarehe za miaka ya 97 huko. Zisome vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana ni syndicate kabisa ya kafara ya muda mrefuSoma baadhi ya risiti , tarehe za miaka ya 97 huko. Zisome vizuri
Mkoa wa Arusha umeharibiwa na Wapare na watu kutoka Tanga. Wapare ni washirikina kupitiliza huku watu wa Tanga wakikomaa na uchoko.Tukio lilianzia baada ya:
Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya sokone one kukutwa ameuwawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.
Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba
katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.
katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA
Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.
Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295
View attachment 3123250
Inaonekana wewe unajua mengi. Kuna risiti moja imeandikwa ''nimepokea kutoka kwa To yeye , sh mia mbili kwa ajili ya vifo vitano tu''Mia mbili nadhani ni 200k
Changamsha kichwa, mwaka 1997 shilingi 200 ilikuwa ina thamani kubwa kuliko unavyodhani......
Bado maelezo zaidi yanahitajika,kuelewa hizo risiti sio kazi ndogo.
Ada ya tsh 100,200,kwa ajili ya kifo mbona ni vitu visivyoeleweka?,Je ni vifo kweli au wameamua kutumia neno "Vifo" kumaanisha kitu kingine?
Pia inawezekana ni mchango wa chama kwa ajili ya rambirambi kwa waliofiwa.
Mlishiriki kuandika hizo ''risiti''? Mbona inaonekana mnajua mengi sana wewe na To yeyena 1997 nazan ni 2017
Tuliza kinembe hicho, kuanzia lini Mlacha wakawa Wachaga?Uo ndo utajiri wa wachagga! Hii mijitu miuaji!
Haya mambo ya 'mi-kamati ya ulinzi na usalama'' ndiyo inafanya mambo kama haya yatokee. Nchi kila kitu kimegezwa ni siasa za kijinga. Polisi wangeachiwa wafanye mambo yao bila kuweka hawa wana kamati ambao wengi ni washirikina.Kamati ya Ulinzi na Usalama inatoa tamko gani? Hakuna kitu kibaya kama kumdhurumu mtu uhai wake. Tunaishi mara moja tu sasa kwanini tunauana ?
Inauma sana sijui kwanini adui wa Binadamu amekuwa ni binadamuHaya mambo ya 'mi-kamati ya ulinzi na usalama'' ndiyo inafanya mambo kama haya yatokee. Nchi kila kitu kimegezwa ni siasa za kijinga. Polisi wangeachiwa wafanye mambo yao bila kuweka hawa wana kamati ambao wengi ni washirikika.
Kuna watu watapata sababu ya kuhalalisha upoteaji wa watuTukio lilianzia baada ya:
Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya sokone one kukutwa ameuwawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.
Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba
katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.
katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA
Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.
Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295
View attachment 3123250
Hawa ni makabila mawili tofauti. Kuhusu ndumba labda utuambie ulikofanya huo utafiti na kuja na hitimisho hilo.Mpare na mchaga ni kama kyupi na kota......mchaga kwenye ndumba ni mweupee,,,,ni wateja wakubwa wa ndumba za wapare na watu wengine wa Tanga
Mie ni wa hukohuko......kwahio naelewaHawa ni makabila mawili tofauti. Kuhusu ndumba labda utuambie ulikofanya huo utafiti na kuja na hitimisho hilo.
Sio sana, kama sikosei ulikuwa unapata soda 2 au 3Changamsha kichwa, mwaka 1997 shilingi 200 ilikuwa ina thamani kubwa kuliko unavyodhani.
Tatizo nini ? Si kitabu tu au ?View attachment 3123297
Kitabu kilichohifadhi risiti
Mie ni wa hukohuko......kwahio naelewa na