Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

View attachment 3123297
Kitabu kilichohifadhi risiti
 
Tukio lilianzia baada ya:

Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya sokone one kukutwa ameuwawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.

Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba

katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.

katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA


Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.

Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295

View attachment 3123250
Mambo ya wrong turn hayo..
 
Back
Top Bottom