Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Arusha: Risiti za vifo zaidi ya 50 zakutwa ndani ya nyumba ya Ramji Hatibu Mlacha

Tukio lilianzia baada ya:
Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya sokone one kukutwa ameuwawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.

Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba

katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.

katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA

Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.

Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295

View attachment 3123250
Mkoa wa Arusha umeharibiwa na Wapare na watu kutoka Tanga. Wapare ni washirikina kupitiliza huku watu wa Tanga wakikomaa na uchoko.
 
.....

Bado maelezo zaidi yanahitajika,kuelewa hizo risiti sio kazi ndogo.

Ada ya tsh 100,200,kwa ajili ya kifo mbona ni vitu visivyoeleweka?,Je ni vifo kweli au wameamua kutumia neno "Vifo" kumaanisha kitu kingine?

Pia inawezekana ni mchango wa chama kwa ajili ya rambirambi kwa waliofiwa.
Changamsha kichwa, mwaka 1997 shilingi 200 ilikuwa ina thamani kubwa kuliko unavyodhani.
 
Kamati ya Ulinzi na Usalama inatoa tamko gani? Hakuna kitu kibaya kama kumdhurumu mtu uhai wake. Tunaishi mara moja tu sasa kwanini tunauana ?
Haya mambo ya 'mi-kamati ya ulinzi na usalama'' ndiyo inafanya mambo kama haya yatokee. Nchi kila kitu kimegezwa ni siasa za kijinga. Polisi wangeachiwa wafanye mambo yao bila kuweka hawa wana kamati ambao wengi ni washirikina.
 
Haya mambo ya 'mi-kamati ya ulinzi na usalama'' ndiyo inafanya mambo kama haya yatokee. Nchi kila kitu kimegezwa ni siasa za kijinga. Polisi wangeachiwa wafanye mambo yao bila kuweka hawa wana kamati ambao wengi ni washirikika.
Inauma sana sijui kwanini adui wa Binadamu amekuwa ni binadamu
 
Tukio lilianzia baada ya:
Mtoto wa miaka 11 (Maryam) anayesoma darasa la sita Kata ya sokone one kukutwa ameuwawa kwa kukatwa katwa na kutenganishwa mwili wake na kichwa na kisha kuwekwa kwenye beseni na kufichwa uvunguni mwa kitanda katika nyumba ya bwana Ramji Hatibu Mlacha.

Baada ya taharuki hii wananchi waliamua kuvunja nyumba, kuchukua na kutoa vitu vyote ndani ya nyumba

katika vitu vilivokutwa ni risiti zaidi ya 50 zikionesha malipo ya ada za vifo vya watu, risiti hizo zipo zinazoonesha vifo vinatakiwa 9 kwa risiti moja.

katika risiti hizo P.O.box inasoma
U.U.K.K. USANGI
P.O.Box 209 ARUSHA

Wananchi wanadai hiyo miaka sio hii tunayohesabu, pengine wanamiaka yao kwakua hizo risiti na za hivi miaka ya karibuni.

Mtuhumiwa alikua anaishi na mkewe.
Na aliyegundua kuwepo kwa mtoto huyo ni baada ya mtoto wao wakike aliyeolewa kuja kuwasalimia akiwa na mjukuu, mjukuu huyo aliingia ndani kutafta kiatu na kukuta mkono chini ya uvungu ndipo alipomuita mama yake na wakaanza kupiga kelele na watu kujaaa
View attachment 3123295

View attachment 3123250
Kuna watu watapata sababu ya kuhalalisha upoteaji wa watu
 
Ila Wabongo uelewa mdogo sana , mbona hizo ni risiti za kawaida huyo atakuwa alikuwa anatunza risiti za maafa kwenye chama chao
20241013_093854.jpg

Kitabu kilichohifadhi risiti
 
Back
Top Bottom