"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

Waliowavalisha huo ukenya ni Wakenya na nyie, na nyie mnakubali kulinganishwa na watu Wa hovyo kama wakenya,
Hebu tuwe serious, sisi watz tuko better than hao wakenya.
Japo napakubali Arusha na Kaskazini kwa Ujumla sijaona sababu ya Wewe kukubali kuvalishwa ukenya, huko ndiko Kutojiamini.
huezi changia mada mpaka utukane wakenya.....watu wa ovyo walikukosea nni?
 
Watu wa iringa, mbeya na tarime walisha surrender kwa hawa mamangi - wao ndo wanawaamulia nani awaongoze na nini mfikirie huku ajira zote za madereva na viti maalum wanachukua. Mmebaki wapiga tarumbeta tu
Huo ni Mtazamo wako tu mkuu, halafu Usitupandikizie chuki bwana, hatuna tabia za Kugombana na watu kwa sababu zisizo za msingi,
Lakini kama wewe ni kiongozi tayari unafeli, maana unapandikiza chuki na Kuwagawa watu,
Relax, take things in a positive way!
 
  • Thanks
Reactions: Pep

Nilichosema ndo ukweli, ila kwa kuwa ukishaambiwa ukweli UKAAMBIWA Useme ulivyosema na ndivyo ulivyoaminishwa endelea kuamini hivyo ila kama upo kwenye harakati zozote za maisha kama BIASHARA, KUTAFUTA KAZI,MAPENZI,AJIRA, KUAJIRI ipo siku utakumbumbuka haya maneno yangu
 
Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Yani mimi nikitoka nje ya Arusha wakati nikiwa narejea ile nikianza kuingia Arusha najiona tofauti kabisa.

Yani nahisi hata ile hewa ya kwetu ni tofauti na sehemu nyingine, una feel rejuvenated ukiwa arusha.
 
Nilichosema ndo ukweli, ila kwa kuwa ukishaambiwa ukweli UKAAMBIWA Useme ulivyosema na ndivyo ulivyoaminishwa endelea kuamini hivyo ila kama upo kwenye harakati zozote za maisha kama BIASHARA, KUTAFUTA KAZI,MAPENZI,AJIRA, KUAJIRI ipo siku utakumbumbuka haya maneno yangu
OK well, watu wa kaskazini wanatupangia cha kufanya sisi Wa Kusini, its ok then, njoo utupige.
umehama Kaskazini,
Sasa umekuja kusini..
You're the only problem here!
 
  • Thanks
Reactions: Pep
OK well, watu wa kaskazini wanatupangia cha kufanya sisi Wa Kusini, its ok then, njoo utupige.
umehama Kaskazini,
Sasa umekuja kusini..
You're the only problem here!
A tabolarassa imparted with internal inferiority complex
 
Katika mambo ambayo sijawahi kuelewa ni hili la kulisha wanawake waliojifungua mavyakula mengi yenye mafuta. Sidhani hili ni la kujivunia.
Kwahiyo la kujivunia ni kumlisha dagaa au kumchinjia kuku kisha kumfanyisha mikazi eeh...!

Ndio maana hamuwezi kuwa na akili kama wanakaskazini.
 
Unanishambulia bure mkuu,
Mimi mhehe Wa Kijijini Iringa.
Nimetamani tu huo utamaduni wa hao wafugaji,
Halafu sidhani kama ni maskini,
Maana kwa mantiki yao utajiri unapimwa kwa idadi ya Mifugo waliyonayo.
Mwambie huyo asiyejielewa.
 
Back
Top Bottom