Lusematic
JF-Expert Member
- Feb 2, 2017
- 12,039
- 11,822
kweli kabisa game over.....hapa tunanzania kila mtanzania anauwezo na haki ya kuishi popote ndani ya mikoa ya nchi yake sijui iwe arusha mwanzs ama kishumundu kote kote ukijikidhi unaishi hawa wengine wanaleta ukabila wakizamani wakati unaweza kuta demu wake mzalamo ama mzigua.....Hivi Wakuu Lengo lenu nini hasa?
Yaani huu mvutano what are you going to get out of it?
Mnaonekana mmesoma yet mnapigizana kelele kama wajinga flani Wa karne ya 15 huko,
Kama umeendelea kuna ulazima gani kumtambia maskini?
Halafu humu wengi ni Watu wazima,
Sisi Vijana tujifunze nini kwenu?
Tukiwadharau mnaanza kutuita Kizazi cha Nyoka.
Mifi kabisa!