darcity
JF-Expert Member
- Jul 20, 2009
- 9,101
- 18,055
Tatizo hawa watu wanajipendekeza na kujishusha kwa Wakenya kiasi kwamba Wakenya wanahisi watz wote wako kama hivyo (inferiority complex wanavyoita) kwa kukosa kujitambua. Alafu wanaiga tabia za Kikenya wanaoita ujanja wanaletaTZHivi Wakuu Lengo lenu nini hasa?
Yaani huu mvutano what are you going to get out of it?
Mnaonekana mmesoma yet mnapigizana kelele kama wajinga flani Wa karne ya 15 huko,
Kama umeendelea kuna ulazima gani kumtambia maskini?
Halafu humu wengi ni Watu wazima,
Sisi Vijana tujifunze nini kwenu?
Tukiwadharau mnaanza kutuita Kizazi cha Nyoka.
Mifi kabisa!