"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

Hivi Wakuu Lengo lenu nini hasa?
Yaani huu mvutano what are you going to get out of it?
Mnaonekana mmesoma yet mnapigizana kelele kama wajinga flani Wa karne ya 15 huko,
Kama umeendelea kuna ulazima gani kumtambia maskini?
Halafu humu wengi ni Watu wazima,
Sisi Vijana tujifunze nini kwenu?
Tukiwadharau mnaanza kutuita Kizazi cha Nyoka.
Mifi kabisa!
Tatizo hawa watu wanajipendekeza na kujishusha kwa Wakenya kiasi kwamba Wakenya wanahisi watz wote wako kama hivyo (inferiority complex wanavyoita) kwa kukosa kujitambua. Alafu wanaiga tabia za Kikenya wanaoita ujanja wanaletaTZ
 
Watanzania ndio tumefikia hapa safari bado ni ndefu.
Kuna watu walianza chokochoko hivyo lazima wapewe majibu ambayo hawatapenda kuyasikia..

Inashangaza Mkaruka na wenzake wanavyosema watu wa kaskazini ni wakabila, makatili na wajinga kama wakenya hakuna aliyemkemea zaidi ya kupokea likes tu za wale wenye chuki na jamii yetu. Lakini sie tukijibu mashambulizi na tukikubali kuuvaa huo ukenya kuliko huu utanganyika tunaonekana wa ajabu wakati huo ukenya mmetuvalisha wenyewe..
 
Vaeni huo ukenya ni nani kawataza, what a moronic mindset !!, Kwani asiyejua kwenu wakenya ni kama miungu ni nani ? Na WAKE ZENU Wana IMPORT Mpaka WANAUME kutoka KENYA and You so proud of it. Wonders shall never cease....
 
We punguani angalia wenzako wanavyolialia hapo juu.. Wewe umaskini uliokithiri huko kwenu kanda ya ziwa ushauzoea.. Pathetic c*nt
 
¤ Kumhudumia Mzazi ipasavyo kwa kumpa Mtori na kumchinjia Mbuzi, ng'ombe au Kondoo na sio kumchinjia kuku mchana halafu kesho yake akachote maji kisimani. Shauri yao.

Katika mambo ambayo sijawahi kuelewa ni hili la kulisha wanawake waliojifungua mavyakula mengi yenye mafuta. Sidhani hili ni la kujivunia.
 
Arusha juu na Arusha chini A town na Mo town kama una akili ndogo uwezi ishi hapa
c88b01a2728d606c27bb31d7926c7c5c.jpg
9049edfff025f2f09bed48cc1dcf6679.jpg
7cb72d0d40d210d082e1ca96b713b593.jpg
15ac629ab51d64e5e96cd809f8bfba78.jpg
Hii picha hapo ni ndani ya Arusha National park Momera. Hapo wanafanya Game Walking wakielekea waterfalls.
 
Kuchagua upinzani ndo kujitambua kisiasa !!, What a stupid mindset, no wonder Kenya's politicians are making it to the billionnaire ladder leaving the majority the poorest & theft has been the only option

Kwahiyo unaweza kuwafananisha watu wa Arusha /Moshi na wa Dodoma /Singida ?
 
Beautiful culture au ni umasikini mpaka kwenye meno, mnaishia kupakimbia kwenu kila siku
Unanishambulia bure mkuu,
Mimi mhehe Wa Kijijini Iringa.
Nimetamani tu huo utamaduni wa hao wafugaji,
Halafu sidhani kama ni maskini,
Maana kwa mantiki yao utajiri unapimwa kwa idadi ya Mifugo waliyonayo.
 
Kuna watu walianza chokochoko hivyo lazima wapewe majibu ambayo hawatapenda kuyasikia..

Inashangaza Mkaruka na wenzake wanavyosema watu wa kaskazini ni wakabila, makatili na wajinga kama wakenya hakuna aliyemkemea zaidi ya kupokea likes tu za wale wenye chuki na jamii yetu. Lakini sie tukijibu mashambulizi na tukikubali kuuvaa huo ukenya kuliko huu utanganyika tunaonekana wa ajabu wakati huo ukenya mmetuvalisha wenyewe..
Kwanza pitia thread alizoanzisha mleta mada utajua ametokea nchi gani na lengo lake.
 
Tatizo hawa watu wanajipendekeza na kujishusha kwa Wakenya kiasi kwamba Wakenya wanahisi watz wote wako kama hivyo (inferiority complex wanavyoita) kwa kukosa kujitambua. Alafu wanaiga tabia za Kikenya wanaoita ujanja wanaletaTZ
Ni wazi hawajiamini hawa, Mwanaume kujipendekeza na kujilinganisha na Mwanaume mwenzio ni Inferiority complex!
 
We punguani angalia wenzako wanavyolialia hapo juu.. Wewe umaskini uliokithiri huko kwenu kanda ya ziwa ushauzoea.. Pathetic c*nt
Ninyi ndo mmekithiri kwa umasikini mpaka kwenye meno - mnaishia kunywa gongo tu na mbege mpaka hamjitambui, mnabebana kwa ukabila tu. Performance ZERO
 
Huko kwenye performance Itigi, Geita, Simiyu kuna nini zaidi ya dhiki zilizokithiri? Mikoa maskini zaidi Tz ni Shinyanga na Mwanza wakati mikoa tajiri ni Dar, Arusha na Kilimanjaro. Hii ni kwa mujibu wa serikali yako ya ccm
 
Unanishambulia bure mkuu,
Mimi mhehe Wa Kijijini Iringa.
Nimetamani tu huo utamaduni wa hao wafugaji,
Halafu sidhani kama ni maskini,
Maana kwa mantiki yao utajiri unapimwa kwa idadi ya Mifugo waliyonayo.
Watu wa iringa, mbeya na tarime walisha surrender kwa hawa mamangi - wao ndo wanawaamulia nani awaongoze na nini mfikirie huku ajira zote za madereva na viti maalum wanachukua. Mmebaki wapiga tarumbeta tu
 
Kuna watu walianza chokochoko hivyo lazima wapewe majibu ambayo hawatapenda kuyasikia..

Inashangaza Mkaruka na wenzake wanavyosema watu wa kaskazini ni wakabila, makatili na wajinga kama wakenya hakuna aliyemkemea zaidi ya kupokea likes tu za wale wenye chuki na jamii yetu. Lakini sie tukijibu mashambulizi na tukikubali kuuvaa huo ukenya kuliko huu utanganyika tunaonekana wa ajabu wakati huo ukenya mmetuvalisha wenyewe..
Waliowavalisha huo ukenya ni Wakenya na nyie, na nyie mnakubali kulinganishwa na watu Wa hovyo kama wakenya,
Hebu tuwe serious, sisi watz tuko better than hao wakenya.
Japo napakubali Arusha na Kaskazini kwa Ujumla sijaona sababu ya Wewe kukubali kuvalishwa ukenya, huko ndiko Kutojiamini.
 
We punguani angalia wenzako wanavyolialia hapo juu.. Wewe umaskini uliokithiri huko kwenu kanda ya ziwa ushauzoea.. Pathetic c*nt
Kanda ya Ziwa inasimama yenyewe na sio kwa msaada wa serikali kama ilivyo Arusha. 98% ya majengo ya maana yote ni majengo ya SERIKALI na JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
 
Ni kweli kwasababu hadi makazi bora ya kuishi ni serikali inawajengea watu.. Kwasababu pia hadi pesa za mfukoni ni serikali huwa wanagawa bure kwa wananchi wa huko..
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Huko kwenye performance Itigi, Geita, Simiyu kuna nini zaidi ya dhiki zilizokithiri? Mikoa maskini zaidi Tz ni Shinyanga na Mwanza wakati mikoa tajiri ni Dar, Arusha na Kilimanjaro. Hii ni kwa mujibu wa serikali yako ya ccm
Inakuwa masikini kwasababu raslimali zao ndo zinajenga Arusha ingawa bado tu pamoja na kubebwa kote huko
 
Nini hicho ambacho kimejengwa na serikali yako ya ccm? Ni hivo vimajengo viwili vitatu?
 
Back
Top Bottom