V Kweli Tupu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 951
- 528
Wewe wacha upumbavu wa ukabila, sisi watanzania na there is nothing special about people of Arusha. Tofauti ni mazingira ndiyo yana attract tourism na kuleta maendeleo. Hatahivyo, kimaendeleo Dar iko mbali ukilinganisha na Arusha. Lakini tusiwe tunakandiana na kujenga chuki baridi wakati tunaishi nyumba moja. Chachu kidogo uchachua donge zima, tukianza umimi na ukabila tutakuza chuki zisizo na faida kwa nchi yetu.Hahaha...kuniita gasho hakuondoi ukweli kuwa :-
Arusha ni pa kipekee...kwa Wafanya kazi, Wapenda kwao, Wanaojitambua.
Sio Wapaka poda, Mashoga, washinda vibarazani na Marioo.
Mama yako mzazi haishi kusifia hili hogo...sasa wewe kutaka kushare naye atakuachia laana wewe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]