"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

Kekerenkedee...wanakimbilia fursa ambazo washinda vibarazani na wapaka poda hamzioni yakhee...!

Ndio maana Unajitambua, na Tayari una baraka tele.

Huwezi kuzaliwa hospitali ya Mt. Meru, Kaloleni, ALMC, au AICC ukafanana na wabwabwajaji laini wa Tandale au Mpanda.
Ubaguzi utakumaliza gasho, naona unavyotoa mipasho kama umepakatwa na morani, hatari sana.
azarel a.k.a gasho wa kijijini arusha.
arusha ni pakawaida sana acha mawazo mfu na ya kitoto gasho(punga)
 
gasho(punga) wa kijijini arusha katika ubora wako.
Pole sana gasho wa kijijini arusha.
arusha ni pakawaida sana hayo mawazo yako mfu na kibaguzi yatakumaliza.
Sawa, ila Baba yako muasisi wa magasho ni mkufunzi mzuri sana.

Mama yako ndio anashangaza wengi kwa kuusifia hogo msimamo wangu.

Jaribu kumuuliza yakheee...!

Wewe uzaliwe kolomije au liwale uje kujifananisha na wazaliwa wa Arusha?

Hizo propaganda na mboyoyo zingine haziondoi ukweli.

Hakuna mahali kama Arusha, rudi kwenu ukalime tumbaku.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Salaam bandugu.
Naam kama mada inavyosema, hivi karibuni nilipata nafasi adhimu ya kwenda kutembelea makao makuu ya Jumuiya yetu tukufu na pendwa, Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ilikuwa ni ziara ya kikazi.

Mara tukawa tunaelezewa kuhusu kazi za sekretarieti ya Jumuiya, na hapo ndipo kauli tata ya "Arusha sio Tanzania" ilipotamkwa.

"Katika kazi zetu kama Jumuiya ya Afrika Mashariki, hatuhesabu Arusha kama sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bali ni eneo la Jumuiya ya Afrika Mashariki au Federal Capital Territory.....kama Washington DC kule Marekani"

Hilo lilinifanya nitafakari ugumu wa kuanzishwa Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki. Hivi ni watanzania wangapi watakubali Arusha imegwe na kuwa common territory ya EAC?
Below ni picha za jengo la EAC Arusha. Kuzuri hatari!

eac-building.jpg

Ukumbi wa Bunge la Afrika Mashariki

DSC_0088.jpg

Mahakama ya Afrika Mashariki

Judges-of-the-Appellate-Division-during-session-with-court-clerks-in-front.jpg
Arusha ingekuwa part of kenya si ndiyo ukabila na mauwaji yangezidi? Wakenya hampendani kwa ukabila ndiyo maana mnataka kuuleta kwetu kwa uchocheaji. Wewe inabidi ukamatwe kwa uchocheaji na ukabila.
 
Ndio maana Unajitambua, na Tayari una baraka tele.

Huwezi kuzaliwa hospitali ya Mt. Meru, Kaloleni, ALMC, au AICC ukafanana na wabwabwajaji laini wa Tandale au Mpanda.
Hahahaaaaa mimi ni zao la Mt. Meru mkuu,very proud.
 
Hata mimi najivunia kuwa mzaliwa wa Tanzania, maana ni nchi isiyo na ubaguzi, ukanda na ukabila.
Cha ajabu ni kwamba wanajivunia kuzaliwa maeneo yao halafu wanakimbilia Dar inashangaza sana
Nani kakuuliza?
 
Niwaombe radhi watu wengine, hizi mada za kibaguzi huwa nazipiga vitu kwa kuwa mara nyingi huwa hazina matokeo mazuri hasa kitaifa, na hii tabia mara nyingi wanayo watu wa arusha kujiona bora kuliko wengine.
Kwa mtazamo wangu lazima niwapige vita hadi waache Tanzania ni nchi moja ambayo haina ukanda, ukabila .nk
Na ndio hat raisi JPM anapokosea watu wana mkosoa
 
Punguani wahed... Kwahiyo na Dar unataka wasitambie bandari yao?

Unajua Utalii umeajiri na watu wangapi wamejiajiri kupitia kwayo? Hizo pesa zinazolipwa kodi ni faida tu ya makampuni ya kitalii na mahotel yaliyoko Arusha, hizo tozo za park wala si chochote si lolote..

Una uhakika na unachokiongea?
Punguani wahed... Kwahiyo na Dar unataka wasitambie bandari yao?

Unajua Utalii umeajiri na watu wangapi wamejiajiri kupitia kwayo? Hizo pesa zinazolipwa kodi ni faida tu ya makampuni ya kitalii na mahotel yaliyoko Arusha, hizo tozo za park wala si chochote si lolote..

Akli yako haiko sawa...!!
 
Sawa, ila Baba yako muasisi wa magasho ni mkufunzi mzuri sana.

Mama yako ndio anashangaza wengi kwa kuusifia hogo msimamo wangu.

Jaribu kumuuliza yakheee...!

Wewe uzaliwe kolomije au liwale uje kujifananisha na wazaliwa wa Arusha?

Hizo propaganda na mboyoyo zingine haziondoi ukweli.

Hakuna mahali kama Arusha, rudi kwenu ukalime tumbaku.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pole gasho(punga) naifahamu arusha kuliko wewe gasho wa kijijini arusha.
Ila unatakiwa uache tabia zako za kigasho.
arusha pakawaida sana na ni kama mara au shinyanga tu au kigoma
 
Nani kakuuliza?
Huyo hanifahamu vizuri halafu anatamani sana hogo la mtu wa kaskazini....hii mada imemuuma sana sijui kwanini?

Sasa hogo atumie mama yake mzazi naye analihitaji eti...[emoji23] [emoji23] [emoji1]

Amebakia kutunga mboyoyo tu.
 
Achana nae mkuu.
 
Gasho a.k.a punga wa kijijini arusha, pole sana.
Umekosea njia leo.
arusha pakawaida sana.
Ubaguzi utakumaliza punga wewe
Hahaha...kuniita gasho hakuondoi ukweli kuwa :-

Arusha ni pa kipekee...kwa Wafanya kazi, Wapenda kwao, Wanaojitambua.

Sio Wapaka poda, Mashoga, washinda vibarazani na Marioo.

Mama yako mzazi haishi kusifia hili hogo...sasa wewe kutaka kushare naye atakuachia laana wewe.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
 
Achana nae mkuu.
Nenda kakomboe wadada wenzako wa arusha waliojazana hapa Dar wanajiuza kama wamechanganyikiwa akili.
Au nawe ni mmoja wa wanao jiuza hapa Dar kama huyo shoga(punga) unae mpa support.
arusha pa kawaida sana ila ubaguzi utawamaliza ninyi vijana wenye akili kama misukule kwa kujiona ninyi ni bora kuliko watu wa mikoa mingine
 
Hahaha...kuniita gasho hakuondoi ukweli kuwa :-

Arusha ni pa kipekee...kwa Wafanya kazi, Wapenda kwao, Wanaojitambua.

Sio Wapaka poda, Mashoga, washinda vibarazani na Marioo.

Mama yako mzazi haishi kusifia hili hogo...sasa wewe kutaka kushare naye atakuachia laana wewe.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1]
Pole shoga a.k.a punga wa kijijini arusha.
Umekosea njia leo, pumzika mana utachanganyikiwa tu hapa.
arusha pa kawaida sana, hamna kitu cha ajabu hapo.
Acha ubaguzi na ukanda gasho a.k.a punga wa kijijini arusha
 
Mada inazungumzia Arusha, lakini watu wengi ambao cyo wa Kaskazini wameingia moja kwa moja kutukana Wachaga (watu kutoka Kilimanjaro), cha ajabu uzi hajaanzisha mchaga. Ina maana kwamba mchaga anaishi na kufanya maendeleo Arusha na Kilimanjaro pekee?! Mtu yeyote kutoka kabila lolote unachukia Wachaga kama kabila ilhali wao hawakuchukii wewe, una wivu juu ya watu hawa. Hakuna acyejivunia kwake. Tena hapohapo ulipo kuna mchaga, kama ww cyo mnafiki anza nae huyo mmoja mweleze kisa cha chuki zako.
 
Back
Top Bottom