"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

huo ubaguzi utakuwa unauleta wew sasa. wakenya ubaguzi wao mwisho namanga, hilili, taveta uku ubinadam tu

Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
Nawafahamu watu wa arusha na tabia zao za kitoto, kwenye hoja kama hizi mara nyingi reference yao ni Nairobi na wakenya. Nairobi yenyewe haina kitu cha ajabu zaidi ya kuanza mapema kumilikiwa na mabepari ya kizungu.
arusha ni kasehemu kadogo sana hapo mjini nenda nje ya mji kidogo ukianzia na mwisho wa uwanja wa ndege kisongo ndio utajua arusha jinsi ilivyo. I natakiwa watu wa arusha mzungumzie utanzania sio u arusha
 
Kekerenkedeee...kuwa makini usiseme neno UBAGUZI ama UKABILA, hayo ni maneno mazito yawezayo kukuweka ndani.

Hizi ni sifa za watu wa Arusha kusifia maendeleo yao.
Kati ya majengo yote uliyoyaweka hapo kuna lililojengwa na wenyeji wa Arusha au unazungumzia majengo ya serikali na EAC ?

- Na kama Arusha ni pazuri kiasi hicho ni kwanini mnapakimbia kila siku na kwa ubaguzi huu siku mkianza kubaguliwa msishangae
 
Nawafahamu watu wa arusha na tabia zao za kitoto, kwenye hoja kama hizi mara nyingi reference yao ni Nairobi na wakenya. Nairobi yenyewe haina kitu cha ajabu zaidi ya kuanza mapema kumilikiwa na mabepari ya kizungu.
arusha ni kasehemu kadogo sana hapo mjini nenda nje ya mji kidogo ukianzia na mwisho wa uwanja wa ndege kisongo ndio utajua arusha jinsi ilivyo. I natakiwa watu wa arusha mzungumzie utanzania sio u arusha
Mjibu mleta mada,mleta mada ni mkenya sio muarusha
 
Lakini wanakaa MASAKI, MIKOCHENI na UPANGA, Ninyi mmekimbia kwenu mmekuja kufuga NGURUWE KIMARA MWISHO !!
Hamna mzaramo anayekaa hayo maeneo, wazaramo wapo sana, buguruni, tandika, tandale, magomeni
 
Kanda ya Ziwa inasimama yenyewe na sio kwa msaada wa serikali kama ilivyo Arusha. 98% ya majengo ya maana yote ni majengo ya SERIKALI na JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Majengo ya Afrika Mashariki ni ya serikali hayo, si yapo kwetu.
 
Hakuna sehemu kama Arusha.

Why travelling to New York or Paris if we have Arusha in here?

Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.

Ni kweli kabisa Mkuu, sababu mojawapo ya maendeleo ya watu wa Arusha ni interaction na Kenyans pamoja na watu wa nje.

Watu wa Arusha hawana ulelemama na uswahili chovu.
arusha ni moja kati ya mikoa ya Tanzania kama ilivyo Mwanza, Mbeya, iringa, kilimanjaro, mara n.k.
hivyo acheni ujinga wa kupotosha watu kwa akili zenu fupi za kibaguzi, ukanda na ukabila kwamba arusha ni mkoa ambao una utofauti na mikoa mingine Tanzania.
Sasa tunaitana watanzania na sio kama wakenya wanaoitana wakikuyu, wajaruo n.k.
Wakenya wanatakiwa wajifunze kutoka Tanzania kuhusu umoja ila watanzania hatuna cha kujifunza kutoka kenya kuhusu umoja wa taifa.
 
Kati ya majengo yote uliyoyaweka hapo kuna lililojengwa na wenyeji wa Arusha au unazungumzia majengo ya serikali na EAC ?

- Na kama Arusha ni pazuri kiasi hicho ni kwanini mnapakimbia kila siku na kwa ubaguzi huu siku mkianza kubaguliwa msishangae
sasa kinachowafanya na nyie msikaribishe wajengaji wawajengee uko makwenu ni nini? watu wa kaskazini hawanag ubaguzi ndo maana wageni mi wengi
 
Bora umeongea mana, hawa vijana wa arusha wamekubali kulishwa sumu ya ubaguzi na huyo mkenya nao bila kujielewa wanataka kuisambaza hiyo sumu Tanzania.
Namtafuta sana huyo nyanga'u wa kenya nimpe ukweli wake.
Siyo ukweli tu na akamatwe kwa kuchochea chuki. Watanzania hatuna ukabila na chuki kama majimbwa yakikenya.
 
Zamani nami nilikuwa mbishi lakini siku moja nilioneshwa takwimu hizi za TRA nikakubali. Wengi wetu hutazama vitu kihisia na si kiuhalisia. Lakini at the end of the day, namba hazidanganyi.
subiri mwaka uishe B.O.T Ndyo wanafungaga kazi...
 
Sure, Pamoja na kuwa Arusha ni Pazuri,
To me IRINGA is the best,
Hata hivyo, ukiona unatumia Nguvu nyingi kuwaaminisha wengine kuwa wewe ni bora kuliko wao ujue huenda sio kweli wewe ni Bora,
Kilicho bora hujidhihirisha chenyewe, Acha wengine Waseme wewe ni BORA,
Taifa kubwa Halijitangazi, Wote tutasema South Africa na Egypt ndio Nchi zilizoendelea zaidi Africa, (No doubt) ukipita kwenye forum zao Kama 'Mybroadband hautaona nyuzi za Majigambo,
Because its an Obvious.
kweli kabisa....hawanaga
 
Kwakweli najivunia sana kuwa mzawa wa Arusha.
Hata mimi najivunia kuwa mzaliwa wa Tanzania, maana ni nchi isiyo na ubaguzi, ukanda na ukabila.
Cha ajabu ni kwamba wanajivunia kuzaliwa maeneo yao halafu wanakimbilia Dar inashangaza sana
 
Hata mimi najivunia kuwa mzaliwa wa Tanzania, maana ni nchi isiyo na ubaguzi, ukanda na ukabila.
Cha ajabu ni kwamba wanajivunia kuzaliwa maeneo yao halafu wanakimbilia Dar inashangaza sana
Kekerenkedee...wanakimbilia fursa ambazo washinda vibarazani na wapaka poda hamzioni yakhee...!
 
Kwakweli najivunia sana kuwa mzawa wa Arusha.
Ndio maana Unajitambua, na Tayari una baraka tele.

Huwezi kuzaliwa hospitali ya Mt. Meru, Kaloleni, ALMC, au AICC ukafanana na wabwabwajaji laini wa Tandale au Mpanda.
 
hivi nyie mnaotamba ooh....mara arusha sijui nini mmeelewa hii thread ilichomaanisha....ama mnakurupuka tu nakutambiana....ni ivi ombi kwa waelewa naomba tuipotezee hii thread kwani haina tuwaache wanaotambiana
 
Back
Top Bottom