mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,601
Nawafahamu watu wa arusha na tabia zao za kitoto, kwenye hoja kama hizi mara nyingi reference yao ni Nairobi na wakenya. Nairobi yenyewe haina kitu cha ajabu zaidi ya kuanza mapema kumilikiwa na mabepari ya kizungu.huo ubaguzi utakuwa unauleta wew sasa. wakenya ubaguzi wao mwisho namanga, hilili, taveta uku ubinadam tu
Sent from my LG-H500 using JamiiForums mobile app
arusha ni kasehemu kadogo sana hapo mjini nenda nje ya mji kidogo ukianzia na mwisho wa uwanja wa ndege kisongo ndio utajua arusha jinsi ilivyo. I natakiwa watu wa arusha mzungumzie utanzania sio u arusha