Historically, Watu wa Klm waliijenga Arusha kuanzia mwaka 1990 tu-
ILA, Kabla ya hapo majengo yote makubwa ya kwanza Arusha yalijengwa na wenyeji chini ya Vyama vya uuzaji wa NGOZI na KAHAWA.
Mfano Arusha Coffee Union (ARCU)
shule kubwa ya Ilboru, Mringa, Moringe pamoja na kanisa la Ilboru na Salei yalijengwa na wanawake wa kimasai (kuna kitabu cha refference)
Kule Monduli, tayari Edward Sokoine alishaidesign halmashauri ya Monduli pamoja na Bus stand kabla hata ya serikali kufanya hayo.
Unajua hilo?
Uongozi wa Meya wa kwanza mweusi wa Arusha, Letawo Laizer (Don King) pia ndio ulioudesign jiji la Arusha kwa upande wa Clock tower kule na posta ya Meru.
Kilimanjaro chini ya uongozi wa Mareale na (KNCU) ndio kabisaa walishaendelea...kabla ya uhuru tayari walikuwa na shule za secondary zaidi ya 38, barabara nzuri, system nzuri za maji n.k
Soma Historia...!
LONGLIVE & BIG UP WANAKASKAZINI
[emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109] [emoji109]