"Arusha sio Tanzania"

"Arusha sio Tanzania"

Hahaha...huko wanakaa wakaskazini wengi zaidi.

Nyie waswahili zenu ni mwananyamala, Tandale, Manzese na wengine mmetupwa nje ya jiji kabisa

UKWELI UNAUMA....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wakaskani gani ?

Hao waliotoroka ugumu wa maisha na kuja kuhemea dar kwa kufungua Viduka, bar, grocery, kufuga nguruwe na kuku huko Kimara Mbezi/ Mwisho ??

Hebu acheni ukabila fanyeni mambo ya maana
 
Wewe huwa unahesabu A-city kama Tanzania, hujajiuliza mbona watu wa pale wapo kwenye level nyingine kwa kila kitu ikiwemo kujitambua kisiasa. Tanzania yote mngekua na hulka ya watu wa Arusha aisei tungekua tunasoma namba sisi majirani zenu.
Kawaida kama unaendesha gari na kuingia Arusha mtu huwa anahisi kama yupo Nairobi vile. Ukiangalia wanavyochangamka na kuchakarika.
Kudos brother... absolutely right! Sisi wa Arusha ni namba nyingine kabisa... thank you for your compliments bro
 
Kuhusu chakula ni kweli kwasababu, tunakula vifuatavyo:-

-Ndizi za varieties nyingi- Mshare, Mkonosi, Ndizi ng'ombe, kisukari n.k

- Nyama, origional haswaa za Ng'ombe wa kienyeji sio sausages za Dsm.

- Maziwa na siyo ya pakiti

- Kitimoto

- kiburu

- Kisusio

Na sio kama wengine wa Mihogo, chips na matembere tu.

Halafu kikubwa zaidi ninarudia tena ni:-

¤ Kumhudumia Mzazi ipasavyo kwa kumpa Mtori na kumchinjia Mbuzi, ng'ombe au Kondoo na sio kumchinjia kuku mchana halafu kesho yake akachote maji kisimani.

Shauri yao.

Inawezekana maana kuna maeneo hata ukute MTU kasoma mpk u Prof. ile utashangaa thinking capacity yake yaani ana low IQ hata hiyo shuleni kwa sababu ya kukariri tu. Kwa kweli wataalamu wa lishe watusaidie ili tuondoe hiki kizazi cha stunted physically and mentally
 
c6b78d31d164ca324b29072d6da88270.jpg
444b1da4af80558590aab4d22f709ded.jpg
Geneva of Africa
 
Wakaskani gani ?

Hao waliotoroka ugumu wa maisha na kuja kuhemea dar kwa kufungua Viduka, bar, grocery, kufuga nguruwe na kuku huko Kimara Mbezi/ Mwisho ??

Hebu acheni ukabila fanyeni mambo ya maana
Viduka au Maduka mpaka Maghorofa makubwa na Hotels? na nyie bado mpo hapo hapo. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha...hata huoni aibu kuandika hayo?

Pwani imeizidi Arusha, Kilimanjaro na Nairobi kwa vigodoro na pweza...eeh!

Maana ukija kwenye juhudi za kufanya kazi na Elimu nyie ni Bashite origional.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yah ni kweli huko hakuna pweza wala vigodoro lakini kwa nguvu ya ustaarabu na mila za Pwani ni rahisi kukuta huko vitu hivyo. Miji ya kwanza kuendelea ni miji ya Pwani na hii ni kutokana na kutumia akili katika utendaji wa kazi (mental works) na ni kweli physical works kama kulima,kuchunga nk ni za huko kwenu vijijini.(kazi za kutumia nguvu sio sehem ya aina ya kazi za watu wa mijini). Kuhusu elimu ni rahisi mtu kuhesabu watu walio na elimu huko vijijini kwenu na katika idadi hiyo chache ndio mnajivunia. Huku mjini watu waliosoma ni wengi uki-compare na huko vijijini ambapo kuna kiwango kikubwa cha wasio na elimu. Wachache wanaobahatika wanakuja kuishi huku Pwani kwa wastaarabu.

Arusha ya 2017 ni sawa na Dar au Pwani ya 1907.(karne moja na muongo mmoja)

a1ce8c81a9dba1e98fa3a29c32a73c5d.jpg

d5f5ca90e41615ab9d7b291f5387bd3d.jpg

Bundesarchiv_Bild_105-DOA0881%2C_Deutsch-Ostafrika%2C_Tanga%2C_Kaiserstra%C3%9Fe.jpg

Dar 1907

12046806685_0e94152bc9_m.jpg

Bagamoyo 1910

Arusha 2017 in coloured picture
clock+tower+round+about+arusha.jpg

100425_a81b358e122a2fbebec54afc910d96b2_large.jpg

Maasai_1.jpg

Arusha 2017 (black and white) look the same as Dar in its early 1910s
IMG_20170507_235022_864.jpg

So mna kazi sana kuwafikia wavivu wa Dar na Pwani mkuu
Watu wa pwani na Dsm wanafanana mambo manne:-

1) UVIVU

2) UZEMBE

3) MAJUNGU

4) PODAAAAAA....!
 
Yah ni kweli huko hakuna pweza wala vigodoro lakini kwa nguvu ya ustaarabu na mila za Pwani ni rahisi kukuta huko vitu hivyo. Miji ya kwanza kuendelea ni miji ya Pwani na hii ni kutokana na kutumia akili katika utendaji wa kazi (mental works) na ni kweli physical works kama kulima,kuchunga nk ni za huko kwenu vijijini.(kazi za kutumia nguvu sio sehem ya aina ya kazi za watu wa mijini). Kuhusu elimu ni rahisi mtu kuhesabu watu walio na elimu huko vijijini kwenu na katika idadi hiyo chache ndio mnajivunia. Huku mjini watu waliosoma ni wengi uki-compare na huko vijijini ambapo kuna kiwango kikubwa cha wasio na elimu. Wachache wanaobahatika wanakuja kuishi huku Pwani kwa wastaarabu.

Arusha ya 2017 ni sawa na Dar au Pwani ya 1907.(karne moja na muongo mmoja)

View attachment 505996

View attachment 505991

View attachment 505989
Dar 1907

View attachment 505990

Bagamoyo 1910

Arusha 2017 in coloured picture
View attachment 505992

View attachment 505994

View attachment 505995

Arusha 2017 (black and white) look the same as Dar in its early 1910s
View attachment 505993

So mna kazi sana kuwafikia wavivu wa Dar na Pwani mkuu
Hahaha...Tunachozungumzia ni juhudi ya Wazawa kujenga miji yao.

Hizo nyumba za Dar Es Salaam na Pwani zilijengwa na Wakoloni na Serikali ya JMT.

Hivyo hazina Ushawishi wowote kwa wenye akili.

Nyie waswahili ni wa Tandale, Mwananyamala n the like

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaha...huko wanakaa wakaskazini wengi zaidi.

Nyie waswahili zenu ni mwananyamala, Tandale, Manzese na wengine mmetupwa nje ya jiji kabisa

UKWELI UNAUMA....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mshamba mmoja wa kaskazini akikaa Upanga au Masaki wengine wote wanajihisi affiliated nae (no wonder sasa hivi utaanza kunitajia majina ya wanaoishi huko). Nyie kazi yenu hapa mjini zinajulikana mafundi viatu, mabarmaid na wauza k karibu wote ni Arusha au Kilimanjaro au Manyara,kuuza maduka na grocery,kuchoma nyama na kitimoto,upishi wa supu na mtori.
Watu wa mjini hata mtu akiwa Rais hilo linamuhusu yeye na familia yake so wenyeji wanaoishi Upanga au Masaki au wengine wanamiliki nyumba huko hawababaikiwi isitoshe wengine wamepangisha malimbukeni.
 
Hizo zote hapo ulizozitaja ni biashara.

Nyie watu wa pwani na Dsm kazi zenu ni vigodoro, kupaka watu rangi, kuchamba na kufunda katika kitchen party

[emoji23] kekerenkedee...!
 
Maghorofa gani na Hotels ? au unazungumzia guest house za kimara na buguruni ?
Hahaha...hizo guest houses mbona ninyi hamuwezi kuzimiliki?

Kwanini mgeni anakuja kumiliki hizo guest houses na kuwacharg hela mliopo hapo?

Zaidi sana mmeishia kuish katika nyumba za urithi na kupaka poda.

Kekerenkedeee....!
 
Mshamba mmoja wa kaskazini akikaa Upanga au Masaki wengine wote wanajihisi affiliated nae (no wonder sasa hivi utaanza kunitajia majina ya wanaoishi huko). Nyie kazi yenu hapa mjini zinajulikana mafundi viatu, mabarmaid na wauza k karibu wote ni Arusha au Kilimanjaro au Manyara,kuuza maduka na grocery,kuchoma nyama na kitimoto,upishi wa supu na mtori.
Watu wa mjini hata mtu akiwa Rais hilo linamuhusu yeye na familia yake so wenyeji wanaoishi Upanga au Masaki au wengine wanamiliki nyumba huko hawababaikiwi isitoshe wengine wamepangisha malimbukeni.
Hawa jamaa tambo nyiingi unaweza kudhani kuna la maana. Biashara zenyewe walishakariri ni kufungua Duka, Bar, Grocery, Kuchoma Kitimoto, Kufuga nguruwe na kuku
 
Back
Top Bottom