"Arusha sio Tanzania"

Nadhani japo sina uhakika Sana, meya wa kwanza mweusi alikuwa Joe Maeda.
 
Tokeni na mkwende upuuz wenu huko...!!
 
Kuhusu chakula ni kweli kwasababu, tunakula vifuatavyo:-

-Ndizi za varieties nyingi- Mshare, Mkonosi, Ndizi ng'ombe, kisukari n.k

- Nyama, origional haswaa za Ng'ombe wa kienyeji sio sausages za Dsm.

- Maziwa na siyo ya pakiti

- Kitimoto

- kiburu

- Kisusio


Na sio kama wengine wa Mihogo, chips na matembere tu.


Halafu kikubwa zaidi ninarudia tena ni:-

¤ Kumhudumia Mzazi ipasavyo kwa kumpa Mtori na kumchinjia Mbuzi, ng'ombe au Kondoo na sio kumchinjia kuku mchana halafu kesho yake akachote maji kisimani.

Shauri yao.
 
Watu wa Kenya na Arusha/Kilimanjaro wanafanana mambo mawili

¤ Ukabila/Nepotism

¤Misifa ya kijinga/Tamaa/Kuoza meno
Asee sasa si unaona halafu mji wenyewe hausaidii mapato kwa tanzania.
Misifa tuu ya kijinga.
 
Mji wa wavuta bangi

Wala Ngada mkabidhiwe nchi kweli? Nepotism imewajaa.. Mwalimu alisema ubaguzi hautaishia tu mchaga kumbagua Mzaramo, Tuseme leo Arusha muwe nchi mfano yan hamtaishia hapo tu mtataka hadi Unga limitted na Morombo iwe nchi pia,, Mtabaguana hadi kwenye familia zenu aisee,, na mlivyo waroho na walafi wa pesa ivo ninyi hiyo nchi haifkishi mwezi mmeigawana...!!

Kwa kweli acheni Anko Magu atutese tu ila kuwaamini nyie ni sawa na kujikaanga mwenyewe,,,!!! Mbaki tu kutuletea wazungu bongo kwa kweli ila sio kutuongoza TZ....!!

Msinimeze jamani wachaga watani wangu...!!!

Lema watsup!!!
 
Watu wa pwani na Dsm wanafanana mambo manne:-

1) UVIVU

2) UZEMBE

3) MAJUNGU

4) PODAAAAAA....!
Dsm ni mkoa pekee wenye makabila karibia yote yaliyopo Tanzania. In short kwa Tanzania, DSM ni mkoa wa Tofauti.

Unaruhusiwa kuilinganisha Chuga na mikoa mingine lakini sio DSM.
 
Lakini wanakaa MASAKI, MIKOCHENI na UPANGA, Ninyi mmekimbia kwenu mmekuja kufuga NGURUWE KIMARA MWISHO !!
Hahaha...huko wanakaa wakaskazini wengi zaidi.

Nyie waswahili zenu ni mwananyamala, Tandale, Manzese na wengine mmetupwa nje ya jiji kabisa

UKWELI UNAUMA....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni kweli kabisa Mkuu, sababu mojawapo ya maendeleo ya watu wa Arusha ni interaction na Kenyans pamoja na watu wa nje.

Watu wa Arusha hawana ulelemama na uswahili chovu.
Acha ujinga...

Rorya hakuna interraction na Kenya..?

Rombo je......... hawana interaction na Kenya?

Kama wanayo kwanini hawajachangamka kama Arusha?

Ukifikiria utagundua kilichoineemesha arusha ni utalii pamoja na madini na sio hawa wakenya maana hata kwao kumewashinda huo uwezo wa kutuchangamsha sisi wautoe wapi?
 
jamani wa TANZANIA tuwe wamoja hii thread inazingua arusha ni mkoa uliopo tanzania na itabaki tanzania milele.......waliokuja na masuala ya ukabila hapa mshindwe.....na kuhusu dar huu ni mkoa uliokusanya makabila yote wengi wetu ni waamiaji tu na tukija kwenye asili wengi ni asili ya mikoa mingine
 
Ni kweli lakini wanarorya wana kauboya flan hivi...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…