ArD67
JF-Expert Member
- Nov 14, 2016
- 2,817
- 2,044
Nasikitika kwanza umenitukana, halafu ungekuwa wewe uko kinyume na ujinga ungeonesha vinginevyo. Poa, ntaacha ujinga wangu, ila nawe dogo wa uwezo wa kufikiri ni poa uanze kujifunza kufikiri vyema.Acha ujinga wee dogo . . , kusifia Kask ni kuendeleza ukabila . . ? Kwanza unajua idadi ya makabila yaliyoko Kask . . ?!
Kaskazini kuna makabila mengi tuu, kuna Wamasai, Wameru, Wambulu, Waarusha, Wachagga, Wapare . .
Hawa ni Watanzania, ila kinachosifiwa hapa ni weledi wao, uchapa kazi wao, maendeleo wanayofanya . . , tena kila kona ya Nchi hii .
Sasa kuna ubaya gani kusifu Watanzania wenzako wanao onyesha mfano wa kuigwa ktk maendeleo na elimu . . ?!
Acheni wivu wa kijinga . .
Wote waliochangia kama mimi walikuwa na jambo walilokuwa wakilizuia, lipo ila wenye hekima wanayajua madhara yake, wajinga tu ndo hawayaoni haya. Muda ni hakimu bora, acha ije utuhukumu kwa maana ni jambo la asili, penye kuweka umoja utengano utatupia tu. Kwa taarifa yako Tandahimba na Kahama ni miongoni mwa halmashauri zinazokula kwa kasi Tanzania.