Hujambo tena. Sijasahau wala siyo kuwa sijui. Mm nimepongeza jamii ile kumiliki ajenda ya kudhibiti mmomonyoko wa maadili. Na natambua kuwa, jamii hii kwa hatua ambazo imechukua sasa ni rahisi wataalamu kwenda kukaa nao chini na kuwajenga Ili wasijeenda nje ya sheria mama. Ingekuwa hatua hii hawajachukua, hata wataalamu kwenda kuingia ingekuwa ngumu maana hakuna will power ya jamii. Mbona safari nyingi tu huwa zinaanza na marekebisho hufanyika along the way? Nilidhani hata kwa hatua hii wangepongezwa, kutiwa moyo na kwenda kusaidiwa, kumbe siyo. Hivi bara hili lini tutaheshimu vyetu?
Sent from my CPH2207 using
JamiiForums mobile app