Kaveli
JF-Expert Member
- Dec 4, 2012
- 5,443
- 8,903
Hujambo? Mm siyo PhD tafadhali, rekebisha. Nadhani nimeeleza yangu kwenye posts zingine. Ngoja nisirudie. Tuendelee kujadili kwa lengo la kuelimishana tafadhali. Mm lugha hizi zingine ambazo siwezi kuzisema mbele ya ibada mtanisamehe. Nitaenda hivi hivi mdogo mdogo na zile lugha zetu ambazo wazazi wetu walisema ni za heshima.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
My sincere apologies kama nimetumia lugha ya kukera accidentally.
Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu uwe PhD holder in near future. Naiona hekima kubwa ya kiuongozi na busara nyingi ndani mwako.
Much blessings ndugu Waziri Daktari Gwajima. 🤝🤝🤝
-Kaveli-