Kwani na wewe unavaaga vimini πSiendi Meru ππ
Sitokiiii nje ya Town π€£
Hao wazee wanakuwaga wakoloni sanaa
Waje huku mjini wakutane na hawa wazungu waliokimbia makwao na vimini vyao. Tuone kama hiyo sheria yao itatoboa
Bahati nzuri Hawa Wazee wanazo akili zao za kupambania mema na mabaya. Watalii wamekuwepo miaka mingi hatujazaliwa wakivaa hivyo na hizo jamii za huko zimekuwepo wakishika yao.Siendi Meru [emoji24][emoji24]
Sitokiiii nje ya Town [emoji1787]
Hao wazee wanakuwaga wakoloni sanaa
Waje huku mjini wakutane na hawa wazungu waliokimbia makwao na vimini vyao. Tuone kama hiyo sheria yao itatoboa
Weka na ile ya poti
View: https://youtu.be/LVrWwJK-D-w?si=zAS3mxHNlIy7CYnB
Mpaka serikali inafika Arusha huko. Unafikiri ni madogo?
Hujambo? Mm siyo PhD tafadhali, rekebisha. Nadhani nimeeleza yangu kwenye posts zingine. Ngoja nisirudie. Tuendelee kujadili kwa lengo la kuelimishana tafadhali. Mm lugha hizi zingine ambazo siwezi kuzisema mbele ya ibada mtanisamehe. Nitaenda hivi hivi mdogo mdogo na zile lugha zetu ambazo wazazi wetu walisema ni za heshima."Sheria Ndogo" (By-Law) kwa procedures zipi? kwa Government Notice ipi?
Yaani Waziri Gwajima (PhD) naye anakiri kabisa na kuita kuwa hiyo ni 'sheria ndogo'?
Hili Taifa bado lina safari ndefu sana walai.
-Kaveli-
Hujambo tena. Sijasahau wala siyo kuwa sijui. Mm nimepongeza jamii ile kumiliki ajenda ya kudhibiti mmomonyoko wa maadili. Na natambua kuwa, jamii hii kwa hatua ambazo imechukua sasa ni rahisi wataalamu kwenda kukaa nao chini na kuwajenga Ili wasijeenda nje ya sheria mama. Ingekuwa hatua hii hawajachukua, hata wataalamu kwenda kuingia ingekuwa ngumu maana hakuna will power ya jamii. Mbona safari nyingi tu huwa zinaanza na marekebisho hufanyika along the way? Nilidhani hata kwa hatua hii wangepongezwa, kutiwa moyo na kwenda kusaidiwa, kumbe siyo. Hivi bara hili lini tutaheshimu vyetu?Mkuu, hamna Sheria Ndogo (by law) yoyote hapo. Hivyo ni vikanuni uchwara tu wamejiwekea hao wananzengo, na havina essence yoyote kisheria endapo mtu akivivunja.
Waziri Gwajima nahisi amesahau au hajuwi 'Sheria Ndogo' ni kitu gani.
-Kaveli-
Mwenye Neema ya hekima atashindana nayo na atabaki imara. Kwani huko ilikoanza globalization kwani hakuna watu unadhani waliosimama na Maadili? Mbona tunapiga nao picha Kila siku? Sema labda exposure yako ni channels unazotafuta tu kwa kusudi lako. Kila penye Giza, Nuru nayo ipo.Upuuzi... hawezi kushindana na globalization
Ndugu yangu, acha nikoge tu matusi yote ila nitasimama kutetea na kusaidia wale ambao Mungu amenyoosha mkono wake juu yako kwa kusudi lake, basi litimie. Sitafifisha kusudi la Mungu kisa wachambuzi Hawa. Ila kama ilivyoandikwa kuwa penye Giza na Nuru ipo, basi ndivyo tutakavyoangaza daima. Wa Giza ni wa Giza tu na wa Nuru atabaki nuruni. Kaziiendelee
Kwani wamekatazwa kutembea uchi?Waafrika kukaa uchi ni utamaduni wetu. Nguo tumeanza kuvaa miaka ya 1930 tu....
Ni makubaliano ya jamii husika. Sasa sheria au siyo sheria hilo lingine. Kwanza wao wameona wakubaliane hivyo. Kama kuna shida, wenye hekima huenda mbele ya shauri na kulinyoosha shauri hilo lisikinzane na sheria mama, ilimradi wanaijua Nia njema ya shauri hilo. UbarikiweHukuelewa hoja yangu... semantically.
Nikuulize wewe: Hicho walichopitisha Uongozi wa kijiji husika, ni 'Sheria Ndogo' (By Law) ?
-Kaveli-
Salaam. Ninachofanya nakijua na ndiyo maana nikapongeza kwamba, heri jamii hii imeonesha dhamira ya kutaka mabadiliko na kumiliki ajenda husika, wanachopaswa sasa ni kusaidiwa Ili Nia yao isitoke nje ya mstari wa sheria kuu.Sio sheria ndogo na ndio maana nikauliza ni kweli Waziri Gwajima hajui hilo na hajui nini anafanya?
Hbr za jioni. Nakubaliana na ww kabisa. Ila ambacho nataka nichangie ni kuwa, pamoja na sheria nyingi kuwepo, bado kama sheria kuu ya fahamu za watu haipo, yaani Nia yao, yaani sheria zitakuwepo na makosa yatakuwepo. Hawa wameonesha njia ya kutaka mabadiliko, sasa hao wenye sheria zao ndiyo wapeleke UONGOZI. ukipeleka uongozi kwenye jamii ambayo wala kichwani mwao hakuna hiyo Nia, utarudi kama ulivyoenda. Yaani hapa ni balance tu kati ya mwelekeo wao na input ya uongozi Ili waelekee sawa sawa.Hii ni mihemko tu, na wasithubutu kutekelwza maana wataangukua pasipoelezeka. Hii nchi ina sheria kanuni na taratibu ambazo zikizingatiwa jamii itakaa sawa kabisa sio haya
Nadhani nimesha interact vya kutosha kwenye mchango wako huu. Rejea awali. Ngoja nitafute new pointsWell.. Waziri Gwajima yeye katambua hicho kilichopitishwa na Kijiji ni 'Sheria Ndogo'.
As such, Yes, hajuwi 'sheria ndogo' ni kitu gani, Ila anajua anachofanya i.e to support moral decay prevention.
-Kaveli-
Waafrica mna mambo nyie!yaani mambo ya babu zenu Leo mnaita ni ushenzi?babu zenu hawakuwa na nguo jamanii muwe wepesi kuelewaMwenye Neema ya hekima atashindana nayo na atabaki imara. Kwani huko ilikoanza globalization kwani hakuna watu unadhani waliosimama na Maadili? Mbona tunapiga nao picha Kila siku? Sema labda exposure yako ni channels unazotafuta tu kwa kusudi lako. Kila penye Giza, Nuru nayo ipo.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Ukitazama hivyo, ni sawa tu na kusema kuwa, zamani babu zetu hawakuwa na nyumba hizi turudi mapangoni, hawakuwa na vyuo vikuu wala shule ya msingi, basi tuache kulalamika kwetu hakuna shule mbunge hafai, halafu pia hawakuwa na hospitali basi tuache kulalamika hakuna sijui hospitali wala vitendea kazi vya wataalamu tukachimbe dawa na sijui miti inatoka wapi maana Tabia nchi imebebea. Halafu barabara za nn sasa si tupitie porini tu. Kama nimekuelewa vzr lakiniWaafrica mna mambo nyie!yaani mambo ya babu zenu Leo mnaita ni ushenzi?babu zenu hawakuwa na nguo jamanii muwe wepesi kuelewa
HaswaaUkirudi Miaka 80 nyuma tulikuwa uchi,nguo zimekuja miaka ya 60 na hapo ziwa saa sita mababu walizoea kuliona likiwa wazi wazi ,
Hujambo tena. Sijasahau wala siyo kuwa sijui. Mm nimepongeza jamii ile kumiliki ajenda ya kudhibiti mmomonyoko wa maadili. Na natambua kuwa, jamii hii kwa hatua ambazo imechukua sasa ni rahisi wataalamu kwenda kukaa nao chini na kuwajenga Ili wasijeenda nje ya sheria mama. Ingekuwa hatua hii hawajachukua, hata wataalamu kwenda kuingia ingekuwa ngumu maana hakuna will power ya jamii. Mbona safari nyingi tu huwa zinaanza na marekebisho hufanyika along the way? Nilidhani hata kwa hatua hii wangepongezwa, kutiwa moyo na kwenda kusaidiwa, kumbe siyo. Hivi bara hili lini tutaheshimu vyetu?
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Yaani ukiunga mkono wewe, naona Sasa wote watatuelewa. Na hii ndiyo faida ya Jukwaa hili. Kwamba watu huja na hoja Kem Kem, halafu baadae tunavumiliana tunakutana sehemu kwa faida ya jamii yetu.You're right... reforms mbali mbali hufanyika along the way. Naunga mkono hoja mkuu.
-Kaveli-
Lakini whites ndo wanaoongoza kwa kuwa na furaha duniani. Stress zipo Africa.Unadhani hao unaowasema Wana Kila kitu chema? Pekua taarifa zao za stress uone.... unaweza kuendelea na Kila kitu lakini amani ya moyo haipo kabisa na unakoelekea ni kwingine kabisa.
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app
Ni makubaliano ya jamii husika. Sasa sheria au siyo sheria hilo lingine. Kwanza wao wameona wakubaliane hivyo. Kama kuna shida, wenye hekima huenda mbele ya shauri na kulinyoosha shauri hilo lisikinzane na sheria mama, ilimradi wanaijua Nia njema ya shauri hilo. Ubarikiwe
Sent from my CPH2207 using JamiiForums mobile app