LGE2024 Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
..

..Chadema wako imara, na wana uchungu na chama chao, ndio maana ngumu zinatembea.

..Na siku Polisi wakiacha kuwalinda Ccm lazima watachezea kichapo toka kwa Chadema.
Mimi kwa kiasi nawaelewa Chadema. Nahisi experience yao inawafanya kwenda overboard kuhakikisha hawaingii watu ambao ni mamluki.
Ni kama nguvu waliotumia kuhakikisha kuwa Msigwa hashindi na haikuchukua muda tukamuona yuko kwenye jukwaa akikinanga chama chake cha awali!

Haipendezi lakini wanajiona wako kwenye vita.

Amandla...
 
Lemma anamwaga rushwa za hatari, ni mwendelezo wa vita baridi dhidi ya Mbowe ili asiteuliwe kuwa mgombea Urais wa chadema
 
Polisi wasaidieni hao pimbi watauwana
 
Kichapo cha kung fu au kichapo kwenye sanduku la kura?

..kote kote.

..polisi wakikaa pembeni Ccm hawawezi kuwakabili Cdm.

..unakumbuka vikao vya halmashauri ya Dsm jinsi madiwani wa Cdm walivyokuwa wanatembeza makonde kwa madiwani wa Ccm?
 
unakumbuka vikao vya halmashauri ya Dsm jinsi madiwani wa Cdm walivyokuwa wanatembeza makonde kwa madiwani wa Ccm?
Haha ninachojua kuchapana makonde ni dalili ya kukosekana kwa busara...

Mtu akizidiwa nguvu ya hoja, hukunja ngumi.
 
Haha ninachojua kuchapana makonde ni dalili ya kukosekana kwa busara...

Mtu akizidiwa nguvu ya hoja, hukunja ngumi.

..ni lini Ccm wamekuwa na hoja?

..Cdm walikuwa wanawabutua madiwani wa Ccm kwasababu walikuwa weziwezi, wajanjawajanja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…