LGE2024 Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

LGE2024 Arusha: Vurugu zaibuka, wafuasi CHADEMA wataka kunyukana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Lema hupenda sana Press C. Sijui kwanini bado hajaita Press C. kujibu tuhuma hizi. Tunamsubiri.
Kubusu kukimbia umande kapandikiza wajinga wenzake humu kumtetetea balaa🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
 
Bado hujasema upuuzi wa lema ni upi. Bado hujasema kama hujakimbia umande uliishia ngazi gani ya elimu ili tujue wewe unacho cha kumzidi lena???
Form four lakini sijafeli kama Lema Mangi,walau nilipata sifa ya kuendelea ,Lema hakupata sifa ya kuendela Mangi,ndio maana hadi leo haelweki;
Nabii,mfanyabiashara,mwanasiasa?
 
Back
Top Bottom