Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

Jua linawaka kweli kweli halafu unasusa dah...nikujiongezea hasira tu wafungue biashara iendelee
 
Ni kama shetani tunamkumbuka kila siku.
Uhuru ulio nao ni shetani ndiye anakupa but kama you're real christian tunafaham kuwa Mungu huwa hatupi akili za kukumbuka mabaya ili usije potea, sasa wewe umetoa jibu upo upande gani.

👉🏾POLE!.
 
Ukiskia dunia ya kwanza ndio huko! Huku tulipo mazingira ya kazi hamna na ukiiba wanakutia nali😅!!!

Wanachoweza ni kusajili V8 na kusifiana majukwaani tu huko huku wakituambia vijana ajira hamna mjiajiri kutusanifu tu 😅
 
Jambo zuri. Mji wa kitalii unatakiwa kuwa safi.
 
waendelee kufunga tuu......fremu ziwe display....mali waweke stooo....wasituchoshe watembea kwa miguu
 
Wanapanga juu ya mitaro na njia za wapita njia ni sahihi?
Tumewaondoa wamachinga kwenye njia za watembea kwa mguu na juu ya mitaro, hawa wapuuzi nao wanataka kutumia hiyo fursa kuweka bidhaa zao, hii haikubaliki. Wakiwaruhusu itakuwa hakuna sababu ya kuwaondoa wamachinga.
 
Binafsi naona pana tatizo. Bidhaa unazoziuza wewe kuna watu wanazitembeza mkononi. Mteja akikutana na mtembezaji ananunua na hana shida ya kuingia dukani kwako. Utaendeshaje biashara?

Kumbu nikiweka nje namshawishi mpita njia kuwa hiyo idhaa ninayo. Nitauuza.

Ni hivyo tu.
 
Ukiskia dunia ya kwanza ndio huko! Huku tulipo mazingira ya kazi hamna na ukiiba wanakutia nali😅!!!

Wanachoweza ni kusajili V8 na kusifiana majukwaani tu huko huku wakituambia vijana ajira hamna mjiajiri kutusanifu tu 😅
Inahuzunisha sana. Na Wala siyo ngumu kwa wanasiasa wetu kusaidia maisha ya wananchi kuwa nafuu. Kwa mfano wakipunguza kodi kwenye vyakula na vifaa vya ujenzi watapungukiwa nini? Yani hivi vitu viwili wakianza navyo tu watu watapata unafuu mkubwa. Wananchi wa Denmark na skendinevia yote wanawaamini sana wanasiasa wao wanajua kabisa wako kuwa Linda na kuwatumikia.
 
Naunga mkono zoezi la kusafisha na kupangilia miji!
Lakini wanapitiliza, emagine wanang'oa mpaka vivuli vya magari.
 
Mkaldayo nipigie pande basi nije nipige hizo njaro huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…