Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

Arusha: Wafanyabiashara wa maduka watishia kuandama, wafunga maduka

Sasa kama wewe ni mfanyabiashara na una fremu ya biashara yako sababu ya wewe kuweka biashara yako nje ya fremu ni nini?

Alafu watu wa arusha bwana! Ujue kuweka mgomo ni sawa na kususa, Sasa unamsusia nani na kazi ni yako mwenyewe? Yani unasusa kutafuta ugali?
Jua linawaka kweli kweli halafu unasusa dah...nikujiongezea hasira tu wafungue biashara iendelee
 
Ni kama shetani tunamkumbuka kila siku.
Uhuru ulio nao ni shetani ndiye anakupa but kama you're real christian tunafaham kuwa Mungu huwa hatupi akili za kukumbuka mabaya ili usije potea, sasa wewe umetoa jibu upo upande gani.

👉🏾POLE!.
 
Niko hapa sasa hivi kwenye kababy walker changu Toyota yaris navizia shift ya nne kwenda kudeliver msosi. Hadi na maliza saa sita usiku nataka nifanye shift siyo chini ya 30. Shift mmoja ni kama elfu 15-20 hivi za bongo.

Hao ndio wanasiasa wa Denmark wanatuwekea mazingira Mazur ya kupiga hela kihalali kwa kufanya kazi licha ya kutupiga kodi kubwa. Yenyewe yanaendeshaga baiskeli tu tunapishanaga nayo mtaani na sokoni na supermarket. Viwili tu yamepungukiwa ni hayaendagi kanisani na ishu ya ushoga. Isingekuwa hivyo yangekuwa PERFECT!
Ukiskia dunia ya kwanza ndio huko! Huku tulipo mazingira ya kazi hamna na ukiiba wanakutia nali😅!!!

Wanachoweza ni kusajili V8 na kusifiana majukwaani tu huko huku wakituambia vijana ajira hamna mjiajiri kutusanifu tu 😅
 
waendelee kufunga tuu......fremu ziwe display....mali waweke stooo....wasituchoshe watembea kwa miguu
 
Wanapanga juu ya mitaro na njia za wapita njia ni sahihi?
Tumewaondoa wamachinga kwenye njia za watembea kwa mguu na juu ya mitaro, hawa wapuuzi nao wanataka kutumia hiyo fursa kuweka bidhaa zao, hii haikubaliki. Wakiwaruhusu itakuwa hakuna sababu ya kuwaondoa wamachinga.
 
Sasa kama wewe ni mfanyabiashara na una fremu ya biashara yako sababu ya wewe kuweka biashara yako nje ya fremu ni nini?

Alafu watu wa arusha bwana! Ujue kuweka mgomo ni sawa na kususa, Sasa unamsusia nani na kazi ni yako mwenyewe? Yani unasusa kutafuta ugali?
Binafsi naona pana tatizo. Bidhaa unazoziuza wewe kuna watu wanazitembeza mkononi. Mteja akikutana na mtembezaji ananunua na hana shida ya kuingia dukani kwako. Utaendeshaje biashara?

Kumbu nikiweka nje namshawishi mpita njia kuwa hiyo idhaa ninayo. Nitauuza.

Ni hivyo tu.
 
Ukiskia dunia ya kwanza ndio huko! Huku tulipo mazingira ya kazi hamna na ukiiba wanakutia nali😅!!!

Wanachoweza ni kusajili V8 na kusifiana majukwaani tu huko huku wakituambia vijana ajira hamna mjiajiri kutusanifu tu 😅
Inahuzunisha sana. Na Wala siyo ngumu kwa wanasiasa wetu kusaidia maisha ya wananchi kuwa nafuu. Kwa mfano wakipunguza kodi kwenye vyakula na vifaa vya ujenzi watapungukiwa nini? Yani hivi vitu viwili wakianza navyo tu watu watapata unafuu mkubwa. Wananchi wa Denmark na skendinevia yote wanawaamini sana wanasiasa wao wanajua kabisa wako kuwa Linda na kuwatumikia.
 
Naunga mkono zoezi la kusafisha na kupangilia miji!
Lakini wanapitiliza, emagine wanang'oa mpaka vivuli vya magari.
 
Niko hapa sasa hivi kwenye kababy walker changu Toyota yaris navizia shift ya nne kwenda kudeliver msosi. Hadi na maliza saa sita usiku nataka nifanye shift siyo chini ya 30. Shift mmoja ni kama elfu 15-20 hivi za bongo.

Hao ndio wanasiasa wa Denmark wanatuwekea mazingira Mazur ya kupiga hela kihalali kwa kufanya kazi licha ya kutupiga kodi kubwa. Yenyewe yanaendeshaga baiskeli tu tunapishanaga nayo mtaani na sokoni na supermarket. Viwili tu yamepungukiwa ni hayaendagi kanisani na ishu ya ushoga. Isingekuwa hivyo yangekuwa PERFECT!
Mkaldayo nipigie pande basi nije nipige hizo njaro huko.
 
Back
Top Bottom