Arusha: wafanyabiashara waliofumwa sokoni wakiwa wamenasiana Mwanaume amlipa mwenye mke million 3 kunasuliwa

jamani pichaaaa
 
Huyo mume bwege kweli...million tatu mbona ndogo
Mie ningesema sitaki chochote mbaki hivyo hivyo
 
Tangazo la biashara ya mganga. Ila hakuna ukweli wowote zaidi ya mchongo ili watu waaminishwe na kuingia mkenge.
 
Kwani dactar haya land anasemaje kwa hili.

Yaani serious madactar walishindwa kuwanasua hawa watu .
Mhona kama hakuna userious hapa
 
Hehehehehe.........wajinga ndiyo waliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…