Arusha; Walioiba na kuchoma Moto kituo cha mafuta cha Panone Oktoba 29 waanza kufa mmoja baada ya mwingine

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
11,208
Reaction score
20,517
Vijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka.

Tukio hilo linajiri baada ya mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha Panone kilichochomwa moto na kuibiwa vitu mbali mbali katika super market yake iliyopo hapo hapo kituoni wakati wa vurugu za October 29 kuonana na uongozi wa kata na Kijiji ili kuwasihi vijana wao warudishe vitu walivyochukua la sivyo wasilalamike Kwa lolote lile litakaowapata vijana hao .

Hata hivyo uongozi wa kijiji na kata ya Ambureni umeambulia kupata mitungi miwili mitupu ya gesi na masufuria machache kutoka Kwa vijana haokwa ajili ya kumrudishia mwenyewe .

Hata hivyo ndani ya muda wa mwezi Mmoja tangu mmiliki huyo wa kituo kutoa tngazo Hilo vijana zaidi ya sita wamekufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kupasuka vichwa na hata Sasa abiria wanaogopa kupanda boda boda za vijana huko Arumeru wakihofia lolote laweza tokea wakiwa Barabarani
 
Imani potofu hizo.

Haina tofauti na wanaoamini SAMUYA ataadhibiwa na Karma au Mungu. Jambo ambalo halitotokea
kuna jamaa mpare aliibiwa vitu vya ujenz site, alifanya yake ilikula mpaka driver wa gari aliyebeba, kuna kijana namfahamu alibeba baadhi ya hvo vitu yeye na utingo wake walidondoka siku 1 wakiwa na boda, mpaka fundi aliyefitisha dirisha lilioibiwa aliondoka.
 
Vijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka.

Tukio hilo linajiri baada ya mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha Panone kilichochomwa moto na kuibiwa vitu mbali mbali katika super market yake iliyopo hapo hapo kituoni wakati wa vurugu za October 29 kuonana na uongozi wa kata na Kijiji ili kuwasihi vijana wao warudishe vitu walivyochukua la sivyo wasilalamike Kwa lolote lile litakaowapata vijana hao .

Hata hivyo uongozi wa kijiji na kata ya Ambureni umeambulia kupata mitungi miwili mitupu ya gesi na masufuria machache kutoka Kwa vijana haokwa ajili ya kumrudishia mwenyewe .

Hata hivyo ndani ya muda wa mwezi Mmoja tangu mmiliki huyo wa kituo kutoa tngazo Hilo vijana zaidi ya sita wamekufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kupasuka vichwa na hata Sasa abiria wanaogopa kupanda boda boda za vijana huko Arumeru wakihofia lolote laweza tokea wakiwa Barabarani
Hello Bushmamy from A Town!
 
Back
Top Bottom