Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kila siku wanakufa ila wanaokufa hata picha zao hazionekani Kuna jamaa alibeba madumu ya petroli 10 hapo panone na anadunda hana habari
Km issue ni ajali ajali zipo tu ambao hawakufanya chochote wanapata ajaliHata hivyo ndani ya muda wa mwezi Mmoja tangu mmiliki huyo wa kituo kutoa tngazo Hilo vijana zaidi ya sita wamekufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kupasuka vichwa na hata Sasa abiria wanaogopa kupanda boda boda za vijana
Unajua neno "kuhaa mma?", kama we mpare kweli na umeishi huko huwezi kukataa haya mambo, familia inapukutishwa mmoja mmoja hadi waishe.
Hilo Jungu ni kweli...Niliwahi kusikia na baadhi ya watu niliona wakifa kwa kile kiitwacho kuvunja jungu. Kuhaa mma" lakini bado sinaimani na teknollojia hiyo
Haya Mambo yapo watu hawaamini ,shauri zaoHii nimeipata juzi asee ni kweli maana aliyeniambia ni ndugu wa muhanga
Kumbe jamaa alitoa mpaka lipa namba vijana warudishe miamala vijana wakakaza fuvu 🤠🤠
Wameru kiherehere kimekwisha 😂😂
Hauna imani kuwa ngiloi anawaua hao madogo wa arusha🤣Nitakuwa Wa mwisho kuamini!
Hana uwezo huo,kawachimba beat vijana watu wamechukua kama ilivyo!Hauna imani kuwa ngiloi anawaua hao madogo wa arusha🤣
Hizi taharuki kwa kaskazini ni vitu vya kawaida , hakuna watu wataalam wa kukuza mambo kama wa nyumbani🤣Hana uwezo huo,kawachimba beat vijana watu wamechukua kama ilivyo!
Wewe tenda mema kwa binadamu wenzako ili uishi kwa amani, ila haya mambo yapo na yanafanya kazi sana tu!!Nitakuwa Wa mwisho kuamini!
Sio kweli na kwanini ukikataa kuamini haya mambo watu huwa wana kasirika kabisa?🤔Wewe tenda mema kwa binadamu wenzako ili uishi kwa amani, ila haya mambo yapo na yanafanya kazi sana tu!!
Nimeona huko vijijini mtu anaibiwa ng'ombe, anatoa tangazo, baada ya mda wanakata moto hadi pale waliobaki watakapoomba radhi. Wanaweza kufa hata watu kumi.
Mangi, kila mtu si anataka hoja yake ikubalike😅😅Sio kweli na kwanini ukikataa kuamini haya mambo watu huwa wana kasirika kabisa?🤔
Nimeshuhudia fix nyingi Sana Ambazo wengi waliamini ni uchawi lakini ukichunguza bila kuwa na hizo Imani unakuta ni masuala ya kawaida Tu!Wewe tenda mema kwa binadamu wenzako ili uishi kwa amani, ila haya mambo yapo na yanafanya kazi sana tu!!
Nimeona huko vijijini mtu anaibiwa ng'ombe, anatoa tangazo, baada ya mda wanakata moto hadi pale waliobaki watakapoomba radhi. Wanaweza kufa hata watu kumi.
Unaamini Mungu?Nimeshuhudia fix nyingi Sana Ambazo wengi waliamini ni uchawi lakini ukichunguza bila kuwa na hizo Imani unakuta ni masuala ya kawaida Tu!
Siamini uchawi Wala majini!!