cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Hii hata kwetu Songea ipo, ya kuua ukoo mzima, na Wa mwisho kufa anakua muhusika wa tukio.Mwenzangu ipo hii kitu wapare wanayo
Kwa wamasai wanaita chungu
Kule kilimananjaro mpare alirushwa ela na kijana mmoja
Akawafata wazazi wa kijana akasema arudishiwe pesa zake na ushahid akatoa
Na akasema kama asiporudishiwa wasimlaumu
Mama yake ni mlokole akasema mi sitishwi na wachawi
Mpaka sasa watatu wamedondoka ikiwemo yule mama
Ni mmasai mwenzetu na ni mtu wa karibu sana na kwetu
Na vikao vilivyokalika mpare arudishiwe ela zake baba yangu ndo aliviongoza
Kwa hiyo sijui kama itaendelea ila ndo hivyo mtu tatu mpaka sasa
Ila hii ya huko chuga naona propaganda.