kuna jamaa mpare aliibiwa vitu vya ujenz site, alifanya yake ilikula mpaka driver wa gari aliyebeba, kuna kijana namfahamu alibeba baadhi ya hvo vitu yeye na utingo wake walidondoka siku 1 wakiwa na boda, mpaka fundi aliyefitisha dirisha lilioibiwa aliondoka.Imani potofu hizo.
Haina tofauti na wanaoamini SAMUYA ataadhibiwa na Karma au Mungu. Jambo ambalo halitotokea
dhuluma ni mbaya wana JFWengine wanasema imani potofu.
Imani potofu ni nini ?
Wengine wanafikiri kuwa ni ukweli moja kwa moja.
Anyway
Unajua neno "kuhaa mma?", kama we mpare kweli na umeishi huko huwezi kukataa haya mambo, familia inapukutishwa mmoja mmoja hadi waishe.Imani potofu hizo.
Haina tofauti na wanaoamini SAMUYA ataadhibiwa na Karma au Mungu. Jambo ambalo halitotokea
Hiyo imepitishwa hivyo mkuu, unapaswa kuamini tu😅Boda boda mbona wanakufa deile? Unaweza kuprove vipi pasi na shaka kwamba vifo hivyo vina uhusiano na hilo tukio?
Hello Bushmamy from A Town!Vijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka.
Tukio hilo linajiri baada ya mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha Panone kilichochomwa moto na kuibiwa vitu mbali mbali katika super market yake iliyopo hapo hapo kituoni wakati wa vurugu za October 29 kuonana na uongozi wa kata na Kijiji ili kuwasihi vijana wao warudishe vitu walivyochukua la sivyo wasilalamike Kwa lolote lile litakaowapata vijana hao .
Hata hivyo uongozi wa kijiji na kata ya Ambureni umeambulia kupata mitungi miwili mitupu ya gesi na masufuria machache kutoka Kwa vijana haokwa ajili ya kumrudishia mwenyewe .
Hata hivyo ndani ya muda wa mwezi Mmoja tangu mmiliki huyo wa kituo kutoa tngazo Hilo vijana zaidi ya sita wamekufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kupasuka vichwa na hata Sasa abiria wanaogopa kupanda boda boda za vijana huko Arumeru wakihofia lolote laweza tokea wakiwa Barabarani
Hiyo imepitishwa hivyo mkuu, unapaswa kuamini tu😅
😅😅 yani hiyo tayari imethibitishwa , ndio maana sisiem ni rahisi sana kufanya propaganda rahisi sana na watu wakajaa kwenye kumi na nane🤗Inasikitisha sana maimani ya nchi yetu kwa kweli hadi aibu tunajionea