Arusha; Walioiba na kuchoma Moto kituo cha mafuta cha Panone Oktoba 29 waanza kufa mmoja baada ya mwingine

Sio kweli na kwanini ukikataa kuamini haya mambo watu huwa wana kasirika kabisa?πŸ€”
Hawataki kabisa kuachana na hizo mambo za kuamini uchawi na majini Yaani hata Jambo liwe wazi kabisa kwamba hapa hakuna uchawi ukisema wanakuwa wakali balaa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Nakumbuka miaka ya nyuma bodaboda waliochoma gari ya mpemba mbezi beach ,aisee walianza kudanja mmoja mmoja leo boda kaingia chini ya scania ,kesho mwingine kaingia chini ya fuso ,kesho kutwa mwingine kaingia chini ya semi ,walivyoona wanapukutika ikabidi wengine warudi mkoa waache boa...kijiwe kizima wakaacha wengine wakafa.
 
Unazunguka mbuyu tu mkuu, kama unaamini kuna nuru, basi amini tu kuna giza.πŸ˜…
Niamini usiku kuna watu wanapaa angani🀣🀣🀣🀣
Niamini kuna majini/ mapepo yanamvaa mtu anaanza kupiga kelele🀣🀣🀣🀣🀣
 
Niamini usiku kuna watu wanapaa angani🀣🀣🀣🀣
Niamini kuna majini/ mapepo yanamvaa mtu anaanza kupiga kelele🀣🀣🀣🀣🀣
Unataka kuamini vipi mkuu!!
 
Mmiliki wa hiyo kampuni
Anaitwa nani?

Ova
 
Hao vijana WA Arusha wakisikia vichwa vinauma waende hospital kabla havijapasuka!
πŸ˜…πŸ˜…umenichekesha!

Ishi vizuri na watu uwe mwema usije kufikia hizi hatua, mnapukutishwa wewe na vizazi vyako!
 
Propaganda...


Cc: Mahondaw
 
Hii nimeipata juzi asee ni kweli maana aliyeniambia ni ndugu wa muhanga

Kumbe jamaa alitoa mpaka lipa namba vijana warudishe miamala vijana wakakaza fuvu 🀠🀠

Wameru kiherehere kimekwisha πŸ˜‚πŸ˜‚
Niliwahi kusikia na baadhi ya watu niliona wakifa kwa kile kiitwacho kuvunja jungu. Kuhaa mma" lakini bado sinaimani na teknollojia hiyo
 
Mbongo akifika chuo kikuu, akasoma filosofia na ethics kidogo anajifanya amebadilika kifikra...
Watu wanashindwa kuelewa: Rais wa nchi anasimikwa na machifu wa kila mkoa.Umewahi kujiuliza hao machifu huwa wanamilki nini?? Kwa nini serikali ikubali mkuu wa nchi afanyiwe hivi??
 
....Wewe unawafahamu binafsi walioiba Vitu Hapo Panone ? Na unawafamu rasmi mareemu Boda Boda SITA waliofariki Kwa Mkwara huo wa Panone? Una Hakika kuwa ni Panone amefanya. Vitu vyake?? Tujizuir Kusambazs Imani Potofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…