masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,576
- 20,183
Wamasai wanaota chungukuna jamaa mpare aliibiwa vitu vya ujenz site, alifanya yake ilikula mpaka driver wa gari aliyebeba, kuna kijana namfahamu alibeba baadhi ya hvo vitu yeye na utingo wake walidondoka siku 1 wakiwa na boda, mpaka fundi aliyefitisha dirisha lilioibiwa aliondoka.
Mwenzangu ipo hii kitu wapare wanayoMauaji ya kishirikina yapo kweli, ila hii ya huko Chuga, naiona km Propaganda. Lol
Ngiloi sio mpareWamasai wanaota chungu
Huyo mpare panone amefanya ninj
Ni kabila gani?Ngiloi sio mpare
YeahNi kabila gani?
Mbona kama jina la kimasai?
Wapare kwa uchawi hakuna mfano.kuna jamaa mpare aliibiwa vitu vya ujenz site, alifanya yake ilikula mpaka driver wa gari aliyebeba, kuna kijana namfahamu alibeba baadhi ya hvo vitu yeye na utingo wake walidondoka siku 1 wakiwa na boda, mpaka fundi aliyefitisha dirisha lilioibiwa aliondoka.
Kama mnaweza muondoeni chura kiziwiVijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka.
Tukio hilo linajiri baada ya mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha Panone kilichochomwa moto na kuibiwa vitu mbali mbali katika super market yake iliyopo hapo hapo kituoni wakati wa vurugu za October 29 kuonana na uongozi wa kata na Kijiji ili kuwasihi vijana wao warudishe vitu walivyochukua la sivyo wasilalamike Kwa lolote lile litakaowapata vijana hao .
Hata hivyo uongozi wa kijiji na kata ya Ambureni umeambulia kupata mitungi miwili mitupu ya gesi na masufuria machache kutoka Kwa vijana haokwa ajili ya kumrudishia mwenyewe .
Hata hivyo ndani ya muda wa mwezi Mmoja tangu mmiliki huyo wa kituo kutoa tngazo Hilo vijana zaidi ya sita wamekufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kupasuka vichwa na hata Sasa abiria wanaogopa kupanda boda boda za vijana huko Arumeru wakihofia lolote laweza tokea wakiwa Barabarani
Basi ni chungu hiyoYeah
Ni kabila gani?
Mbona kama jina la kimasai?
Chungu kabla ya kuvunja unaiMwenye sheli aitwe police kwa mahojiano
kwa hiyo hao vijana wanadondoka tu automatic?Mzee Ngiloi mchaga wa Machame. Mtu mmoja humble sana na ana upendo na watu. Mtu anaependa watu wafanikiwe sana. Ukiwa mfanyakazi kwake akikuamini na ukawa unapiga kazi vizuri lazima utapata utajiri tu.
Kuna wachaga wana asili ya wamasai kama koo za mmasi , urio , mori, olotu na nkBasi ni chungu hiyo
Duh huo uchawi wa chungu ni mbaya hauna kurud nyuma
Hata wakirudisha kwa sasa imeshavunjwa
Yeah wachaga wenye asili ya masaiMzee Ngiloi mchaga wa Machame. Mtu mmoja humble sana na ana upendo na watu. Mtu anaependa watu wafanikiwe sana. Ukiwa mfanyakazi kwake akikuamini na ukawa unapiga kazi vizuri lazima utapata utajiri tu.
Yeah wachaga wenye asili ya masai
Yeah wapo wengi hata mionekano yao ni masai pureInawezekana ni hivyo.
Babadesi acha hizo basi bana....Wewe unawafahamu binafsi walioiba Vitu Hapo Panone ? Na unawafamu rasmi mareemu Boda Boda SITA waliofariki Kwa Mkwara huo wa Panone? Una Hakika kuwa ni Panone amefanya. Vitu vyake?? Tujizuir Kusambazs Imani Potofu
Yeah wapo wengi hata mionekano yao ni masai pure
Na Samuya aliyeua vitoto anakufa lini ??Vijana ambao wengi ni boda boda na wengine wasio boda boda katika Wilaya ya Arumeru wameanza kufa Kwa vifo vya ajabu ajabu hususani kupasuka vichwa ghafla na vifo vingine visivyoeleweka.
Tukio hilo linajiri baada ya mmiliki wa kituo Cha mafuta Cha Panone kilichochomwa moto na kuibiwa vitu mbali mbali katika super market yake iliyopo hapo hapo kituoni wakati wa vurugu za October 29 kuonana na uongozi wa kata na Kijiji ili kuwasihi vijana wao warudishe vitu walivyochukua la sivyo wasilalamike Kwa lolote lile litakaowapata vijana hao .
Hata hivyo uongozi wa kijiji na kata ya Ambureni umeambulia kupata mitungi miwili mitupu ya gesi na masufuria machache kutoka Kwa vijana haokwa ajili ya kumrudishia mwenyewe .
Hata hivyo ndani ya muda wa mwezi Mmoja tangu mmiliki huyo wa kituo kutoa tngazo Hilo vijana zaidi ya sita wamekufa vifo vya ajabu ajabu ikiwemo kupasuka vichwa na hata Sasa abiria wanaogopa kupanda boda boda za vijana huko Arumeru wakihofia lolote laweza tokea wakiwa Barabarani
hao jamaa noma, kuna mmoja alikuwa anachana mbao miti ya asil, afsa misitu mmoja akawa anamuotea anachukua hela, kisha anawatonya afsa wenzake wanakuja kuchota hela pia, kuna siku jamaa akamuotea tena mpare akampa 150k akamwambia hyo ndo ya mwisho, inasemekana afsa kwenye ile 150 alitoa 5k tu akanunua sumu alipofika nyumbani akanywa akadanja.Wapare kwa uchawi hakuna mfano.