Arusha; Walioiba na kuchoma Moto kituo cha mafuta cha Panone Oktoba 29 waanza kufa mmoja baada ya mwingine

Hii hata kwetu Songea ipo, ya kuua ukoo mzima, na Wa mwisho kufa anakua muhusika wa tukio.

Ila hii ya huko chuga naona propaganda.
 
kama alipiga chungu (aka nungu) ataenda kuipooza, ila inaweza kula kama wawili zaidi maana chungu huwa hasira zake zinaisha taratibu.
 
Huyo mmiliki wa Petro station yeye ataishi milele
 
Kaskazini huko kuna mchanganyiko sana. Kuna muinguliano wa makabila hadi ya nchi jirani.
Mkuu na wewe una asili ya "Masai" Nini nikusemeshe kimasai Cha kwenu!?

Inu kitooichi Cha Wari nyi kwi!?
Japo mimi kibosho🤣 yesuu maiha nginyo kitochi meku , kuor'e umbeke kunu nuka ukeri cha uji🤣
 
Nakumbuka ile! Pale makonde
 
Hilo Jungu ni kweli...

Hapo Arusha hakuna asiyejua athari za kuvunja jungu...

Uchawi upo wazee...

NB: nashauri hao madogo kama hivyo vitu wameshauza, waende kwa mzee Panone waombe hata msamaha, vinginevyo wanaisha...
kama alishafanya yake hawezi kutoa msamaha bule bule vingnevyo anaondoka yeye.
 
....Wewe unawafahamu binafsi walioiba Vitu Hapo Panone ? Na unawafamu rasmi mareemu Boda Boda SITA waliofariki Kwa Mkwara huo wa Panone? Una Hakika kuwa ni Panone amefanya. Vitu vyake?? Tujizuir Kusambazs Imani Potofu
Babadesi acha hizo basi bana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…