Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 11,208
- 20,517
Wakazi wa Arusha washtushwa na Siasa za Arusha kuwa zimekuwa za ajabu na kushangaza sana kwa kuona baadhi ya wakuja ambao sio wazawa wa Arusha huku wakiwa hawajui matayua Arusha , kuja kugombea uwakilishi wa ubunge katika ardhi Yao wakati sio wazawa wa Arusha huku vijana wazawa wenyeji tena wasomi wakitakiwa na wananchi wao kuwa wawakilishi bungeni maana wanajua zaidi matatizo ya Arusha kuliko hao wakuja wanaokuja kugombania uongozi katika ardhi Yao.
Wakazi wa Arusha nao wajipanga kuwakataa wakuja kuwa wawakilishi wao bungeni Bali kila mtu arudi alipotoka kwenye Ardhi Yao wakawawakilishe wananchi wao
Wakazi wa Arusha nao wajipanga kuwakataa wakuja kuwa wawakilishi wao bungeni Bali kila mtu arudi alipotoka kwenye Ardhi Yao wakawawakilishe wananchi wao