Arusha: Watoto wawili watuhumiwa kumlawiti mdogo wao baada ya baba na mama kuikimbia familia

Mashabiki wa US/NATO wa JF watakuja kufurahia ushenzi huo.
 
H
Hao wapuuzi itakuwa ni wazoefu na wamemfanyia ukatili huyo binadamu mdogo kutokana na malezi mabovu. Hili nalo ni ajabu jingine.

Ninacho kifahamu mimi ni kwamba mwanaume hata ukiwa hupitishi hata siku moja bila kufunuluwa ili usome,lkn hutopenda kusikia kuwa dada yako ama mdogo wako wa kike anafunulia wanaume km unavyo funuluwa wewe.

Sasa hawa wapumbavu wanamnajisi mdogo wao,tena kunyume.
Zamani nilikuwaga ninafikiri Arusha wanajitambua lkn kumbe hakuna kitu.
Yaani hakuna hii taarifa ilipasema kuwa wamechomwa japo visu hawa wapuuzi!
 
Hakuna jamii imara wala taifa imara pasipo familia imara.

Tupo tumekaa pale tutarudi humu baada ya miaka kadhaa kusoma stori.
 
Hao wala sio kwamba hawajui wanachokifanya,miaka 17 kama anasoma ni form three huko,itakuwa wanatumia makitu yao yale ya Arusha,wapewe kibano na kifungo washenzi sana
Hayo makitu nayo yana mchango mkubwa kwenye upotevu wa maadili.

Mwenye akili yake timamu hawezi kufanya mambo ya ajabu kama hayo...wakishavuta mabangi yao huona kila wanalofanya ni sawa tu...hakuna uoga wala majuto.

Mie naona hata huku nilipo..wasagaji wengi na mashoga ni walevi au wala marungi na wavuta bangi
 
Mama aliacha simu ya kitochi au simu janja tuanzie hapo
 
Ni kweli,hayo makitu yanachagia sana uovu,cha kushangaza kuna watu wanayasifia bangi humu
 
Hapo kuna madeni, mgogoro wa wazazi, maisha mgumu na ulawiti(maadili). Jambo limezua jambo.
 
Huko uliko ni wapi?
 
Sheria ifuate mkondo wake,
Wazazi kukosa maelewano, na Madeni yamesababisha watoto kukiuka maadili mema.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Sheria ifuate mkondo wake,
Wazazi kukosa maelewano, na Madeni yamesababisha watoto kukiuka maadili mema.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Madogo sana hapo ndo utajua family stability ni nzuri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…