Mufti kuku The Infinity
JF-Expert Member
- Sep 21, 2019
- 6,053
- 10,032
Mitoto mijinga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio watoto sema Taifa linaangamia.watoto wanaangamia kwa kweli family stability ni kitu muhimu sana
Hao wapuuzi itakuwa ni wazoefu na wamemfanyia ukatili huyo binadamu mdogo kutokana na malezi mabovu. Hili nalo ni ajabu jingine.Wakazi wa Kata ya Muriet, eneo la Barabara ya Nado, mitaa ambayo ni maarufu kwa jina la Muriet au Barabara ya East Afrika Mkoani Arusha, wamelalamikia kitendo cha wazazi wawili (mume na mke) kuwatelekeza watoto wao ambao wamejikuta wakiingia katika matatizo ya kimaadili.
Inaelezwa kuwa Wazazi hao ambao majina yao hayajapatikana walikuwa na mgogoro wa kifamilia, mume akaondoka lakini siku chache baadaye akarejea na wakakubaliana kuwa waendelee kulea Watoto hao licha ya tofauti zao binafsi.
Katika mazingira ambayo haijulikani nini kilitokea, mume alichukua maamuzi ya kuondoka na kutokomea kusikojulikana kisha siku chache baadaye mke naye akaondoka bila kuaga, hivyo wakawaacha watoto wao Gift ambaye inadaiwa ana umri wa miaka 17, George inadaiwa ana umri wa miaka 15 na Jovin ambaye inadaiwa ana umri wa miaka 6 au 7.
Mama wa Watoto akiwa mafichoni akawa anatuma hela kupitia kwa jirani yake ili awape wanaye kwa ajili ya matumizi ya chakula, baada ya siku kadhaa jirani huyo ambaye ni Mwanamke naye akakataa kupokea fedha hizo kwa kile kilichoelezwa kuwa anaogopa kuingia katika matatizo kwa kuonekana anaunga mkono kinachofanywa na mama Watoto aliyekimbia familia.
Wakati anaondoka mama mtu aliacha simu nyingine nyumbani kwake, ndipo akaendelea kuwasiliana nao kwa njia hiyo huku akiwatumia kiasi kidogo cha fedha kwa ajili ya matumizi.
Licha ya kutoonekana wakienda shule, hivi karibuni majirani waliona yule mtoto mdogo akitembea kwa kuchechemea, baada ya kumuuliza tatizo lake akaogopa kusema akiwaambia ametishiwa na kaka zake kuwa akisema watamua.
Majirani wakatumia ushawishi mwingi azungumze, ndipo Mtoto huyo akafichua kuwa amekuwa akiingiliwa kinyume cha maumbile (analawitiwa) na kaka zake kwa zamu.
Kaka zake hao walipoitwa na kubanwa kuhusu kufanya vitendo hivyo wakakana kufanya matukio hayo huku wakionesha kutokuwa tayari kutoa ushirikiano wa kuulizwa maswali zaidi.
Ndipo Balozi wa Mtaa wa Muriet, Zuhura Ally Toto akashirikiana na wananchi wakampeleka Mtoto aliyeathiriwa na ukatili wa ndugu zake hospitali, madaktari wakakataa kutoa huduma hadi wapate PF3 kutoka Polisi.
Baada ya maombi ya Balozi ndipo madaktari wakamfanyia uchunguzi na ikabainika kweli mtoto huyo ameingiliwa, wakasaidia kumpa dawa.
Akifafanua zaidi, Balozi wa Mtaa wa Muriet, Zuhura anasema “Hadi muda huu tunaye huyu mwathirika kwa kuwa tunajua tukimrudisha kule kwa wenzake wanaweza kumfanyia kitu kibaya zaidi, pia hata kiakiri ni wazi hayupo sawa.”
Anaongeza “Tumewasiliana na mama Watoto amekataa kurudi kwa kuwa anadai tunamdanganya ili arudi kisha wanaomdai waweze kumkamata. Tangu tumpe hizo taarifa hapokei tena simu.”
Inadaiwa yule jirani wa awali aliyekuwa akitumiwa hela ili awape Watoto naye alipomjulisha mama mzazi kuhusu tukio la ulawiti, inadaiwa aligoma kurudi kwa kuamini kuwa wanamdanganya ili akirudi akamatwe na wadeni wake.
Kuhusu madeni, inaelezwa kuwa kutokana na madeni ambayo mama huyo anadaiwa, baadhi ya wanaomdai walifika nyumbani kwake na kubeba baadhi ya vitu ikiwemo kitanda, hivyo Watoto hao wamekuwa wakilala chini.
Balozi Zuhura anasema “Tunawasiliana na Mwenyekiti wa Mtaa ili kulifikisha suala hili mbele zaidi kwenye vyombo husika kwa kuwa hakuna ushirikiano kutoka kwa wazazi na hata afya ya akili ya Watoto husika inaonekana haipo sawa.”
Hayo makitu nayo yana mchango mkubwa kwenye upotevu wa maadili.Hao wala sio kwamba hawajui wanachokifanya,miaka 17 kama anasoma ni form three huko,itakuwa wanatumia makitu yao yale ya Arusha,wapewe kibano na kifungo washenzi sana
Mama aliacha simu ya kitochi au simu janja tuanzie hapoWakazi wa Kata ya Muriet, eneo la Barabara ya Nado, mitaa ambayo ni maarufu kwa jina la Muriet au Barabara ya East Afrika Mkoani Arusha, wamelalamikia kitendo cha wazazi wawili (mume na mke) kuwatelekeza watoto wao ambao wamejikuta wakiingia katika matatizo ya kimaadili.
Inaelezwa kuwa Wazazi hao ambao majina yao hayajapatikana walikuwa na mgogoro wa kifamilia, mume akaondoka lakini siku chache baadaye akarejea na wakakubaliana kuwa waendelee kulea Watoto hao licha ya tofauti zao binafsi.
Katika mazingira ambayo haijulikani nini kilitokea, mume alichukua maamuzi ya kuondoka na kutokomea kusikojulikana kisha siku chache baadaye mke naye akaondoka bila kuaga, hivyo wakawaacha watoto wao Gift ambaye inadaiwa ana umri wa miaka 17, George inadaiwa ana umri wa miaka 15 na Jovin ambaye inadaiwa ana umri wa miaka 6 au 7.
Mama wa Watoto akiwa mafichoni akawa anatuma hela kupitia kwa jirani yake ili awape wanaye kwa ajili ya matumizi ya chakula, baada ya siku kadhaa jirani huyo ambaye ni Mwanamke naye akakataa kupokea fedha hizo kwa kile kilichoelezwa kuwa anaogopa kuingia katika matatizo kwa kuonekana anaunga mkono kinachofanywa na mama Watoto aliyekimbia familia.
Wakati anaondoka mama mtu aliacha simu nyingine nyumbani kwake, ndipo akaendelea kuwasiliana nao kwa njia hiyo huku akiwatumia kiasi kidogo cha fedha kwa ajili ya matumizi.
Licha ya kutoonekana wakienda shule, hivi karibuni majirani waliona yule mtoto mdogo akitembea kwa kuchechemea, baada ya kumuuliza tatizo lake akaogopa kusema akiwaambia ametishiwa na kaka zake kuwa akisema watamua.
Majirani wakatumia ushawishi mwingi azungumze, ndipo Mtoto huyo akafichua kuwa amekuwa akiingiliwa kinyume cha maumbile (analawitiwa) na kaka zake kwa zamu.
Kaka zake hao walipoitwa na kubanwa kuhusu kufanya vitendo hivyo wakakana kufanya matukio hayo huku wakionesha kutokuwa tayari kutoa ushirikiano wa kuulizwa maswali zaidi.
Ndipo Balozi wa Mtaa wa Muriet, Zuhura Ally Toto akashirikiana na wananchi wakampeleka Mtoto aliyeathiriwa na ukatili wa ndugu zake hospitali, madaktari wakakataa kutoa huduma hadi wapate PF3 kutoka Polisi.
Baada ya maombi ya Balozi ndipo madaktari wakamfanyia uchunguzi na ikabainika kweli mtoto huyo ameingiliwa, wakasaidia kumpa dawa.
Akifafanua zaidi, Balozi wa Mtaa wa Muriet, Zuhura anasema “Hadi muda huu tunaye huyu mwathirika kwa kuwa tunajua tukimrudisha kule kwa wenzake wanaweza kumfanyia kitu kibaya zaidi, pia hata kiakiri ni wazi hayupo sawa.”
Anaongeza “Tumewasiliana na mama Watoto amekataa kurudi kwa kuwa anadai tunamdanganya ili arudi kisha wanaomdai waweze kumkamata. Tangu tumpe hizo taarifa hapokei tena simu.”
Inadaiwa yule jirani wa awali aliyekuwa akitumiwa hela ili awape Watoto naye alipomjulisha mama mzazi kuhusu tukio la ulawiti, inadaiwa aligoma kurudi kwa kuamini kuwa wanamdanganya ili akirudi akamatwe na wadeni wake.
Kuhusu madeni, inaelezwa kuwa kutokana na madeni ambayo mama huyo anadaiwa, baadhi ya wanaomdai walifika nyumbani kwake na kubeba baadhi ya vitu ikiwemo kitanda, hivyo Watoto hao wamekuwa wakilala chini.
Balozi Zuhura anasema “Tunawasiliana na Mwenyekiti wa Mtaa ili kulifikisha suala hili mbele zaidi kwenye vyombo husika kwa kuwa hakuna ushirikiano kutoka kwa wazazi na hata afya ya akili ya Watoto husika inaonekana haipo sawa.”
Ni kweli,hayo makitu yanachagia sana uovu,cha kushangaza kuna watu wanayasifia bangi humuHayo makitu nayo yana mchango mkubwa kwenye upotevu wa maadili.
Mwenye akili yake timamu hawezi kufanya mambo ya ajabu kama hayo...wakishavuta mabangi yao huona kila wanalofanya ni sawa tu...hakuna uoga wala majuto.
Mie naona hata huku nilipo..wasagaji wengi na mashoga ni walevi au wala marungi na wavuta bangi
Huko uliko ni wapi?Hayo makitu nayo yana mchango mkubwa kwenye upotevu wa maadili.
Mwenye akili yake timamu hawezi kufanya mambo ya ajabu kama hayo...wakishavuta mabangi yao huona kila wanalofanya ni sawa tu...hakuna uoga wala majuto.
Mie naona hata huku nilipo..wasagaji wengi na mashoga ni walevi au wala marungi na wavuta bangi
Yaan hali ni mbayaa.Hapo kuna madeni, mgogoro wa wazazi, maisha mgumu na ulawiti(maadili). Jambo limezua jambo.
Madogo sana hapo ndo utajua family stability ni nzuri sana.Sheria ifuate mkondo wake,
Wazazi kukosa maelewano, na Madeni yamesababisha watoto kukiuka maadili mema.
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Family stability ni muhimu mnoo.Madogo sana hapo ndo utajua family stability ni nzuri sana.
CocasticFamily stability ni muhimu mnoo.
AbeeeehCocastic
U hali gani? Umeachiwa toka kwny BAN?Abeeeeh